Kufuatia uamuzi wa klabu ya Mbeya City kumfuta kazi kocha Mecky Maxime pamoja na benchi lake la ufundi, uongozi wa timu hiyo umetangaza rasmi kumteua Salum Mayanga kuwa kocha mkuu …
Makala nyingine
Kabla ya mchezo wa LaLiga kati ya Real Madrid na Deportivo Alavés, kikosi cha vijana cha Juvenil A cha Real Madrid kiliingia uwanjani katika hafla maalum ya kupongezwa baada ya …
Klabu ya Chelsea FC inaripotiwa kuanza mchakato wa kutafuta warithi wa kocha Liam Rosenior, kufuatia mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi Kuu ya England, Premier League. Hatua hiyo inakuja …
Real Madrid wameongeza presha kwa vinara wa LaLiga, LaLiga, baada ya kupata ushindi mwembamba wa 2-1 dhidi ya Deportivo Alavés katika dimba la Santiago Bernabéu. Ushindi huo umeifanya Madrid kupunguza …
Kiungo nyota wa Wydad Casablanca, Hakim Ziyech, amerejea kikosini baada ya kuwa nje kwa kipindi cha majuma kadhaa akiuguza jeraha alilolipata wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi …
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsène Wenger, ameibuka na kauli yenye uzito mkubwa kuhusu mbio za ubingwa wa EPL msimu wa 2025/26, akisisitiza kuwa Arsenal bado wana nafasi kubwa ya …
Liverpool wamemtambua mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Randal Kolo Muani, kama chaguo bora la kuchukua nafasi ya Hugo Ekitike aliyejeruhiwa, kwa mujibu wa jarida la Italia Tuttosport. Ekitike anatarajiwa kukosa mechi …
Chelsea wanataka kumuuza Alejandro Garnacho chini ya mwaka mmoja tangu walipomsajili kutoka Manchester United, kwa mujibu wa talkSPORT. Maisha ya Garnacho ndani ya Manchester United yaliharibika baada ya kauli zake …
Roberto De Zerbi amesema hofu inaathiri Tottenham Hotspur baada ya kichapo cha 1-0 dhidi ya Sunderland kilichowaacha katika nafasi ya 18, huku Cristian Romero akipata jeraha linaloshukiwa kuwa la goti. …
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limetangaza adhabu mbalimbali kwa klabu na wachezaji wa NBC Premier League kutokana na matukio ya utovu wa nidhamu yaliyotokea katika michezo tofauti msimu …
Klabu ya Simba SC pamoja na TRA United zote mbili zimepigwa faini ya Shilingi milioni 5 kila moja kutokana na tukio la vurugu lililohusisha walinzi wa klabu hizo (stewards) baada …
Kocha wa Chelsea, Liam Rosenior, amesema bado anaungwa mkono kwa asilimia 100 na wamiliki wa klabu hiyo licha ya mwenendo mbaya wa matokeo katika Premier League. Chelsea wamepoteza mechi nne …
Kocha wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa, amejitokeza hadharani kumtetea mshambuliaji nyota Kylian Mbappe kufuatia lawama zilizomkumba baada ya kichapo cha UEFA Champions League dhidi ya Bayern Munich. Real Madrid waliondoshwa …
Ryan Giggs ambaye ni nguli wa Manchester United anaunga mkono klabu hiyo kumrudisha Højlund ili aweze “kupambania nafasi” kikosini pamoja na Benjamin Sesko. United wameendelea kuimarika chini ya Michael Carrick, …
Klabu ya Al Ahli imefanikiwa kutinga fainali ya AFC Champions League Elite baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Vissel Kobe katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa …
Klabu ya Wolve imethibitishwa rasmi kushuka daraja kutoka Premier League baada ya matokeo ya sare ya bila kufungana kati ya West Ham United na Crystal Palace. Matokeo hayo yameiacha Wolves …
Manchester United wanatarajiwa kuweka kipaumbele kwenye safu ya kiungo msimu huu wa joto, huku Aurélien Tchouameni akitajwa kama moja ya malengo ya klabu hiyo ya EPL. Tchouaméni huenda akaondoka Real …
Klabu ya West Ham United imeendelea kujiongezea matumaini ya kubaki ndani ya Premier League baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana dhidi ya Crystal Palace katika dabi ya London iliyopigwa …
Kiungo wa Tottenham Hotspur, Lucas Bergvall, anahusishwa na uwezekano wa kuhamia majira ya joto kwenda kwa wapinzani wao Arsenal na Chelsea, kwa mujibu wa CaughtOffside. Spurs wanaona kuwa mchezaji huyo …
Kikosi cha Yanga kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Muungano (Muungano Cup) inayotarajiwa kuanza rasmi Aprili 21, 2026. Mabingwa hao watetezi wanaingia kwenye mashindano …

