Frank Lampard alisifu usiku “maalum” kwa Coventry City na kueleza furaha yake kwa kuwapa mashabiki kile alichokiita “usiku wa maisha yao” baada ya klabu hiyo kuthibitisha kupanda moja kwa moja …
Makala nyingine
Rais wa Barcelona, Joan Laporta, amewashambulia vikali waamuzi waliochezesha mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atlético Madrid, akidai kuwa walipoteza uadilifu wa mashindano hayo. Laporta …
Ratiba ya robo fainali ya Kombe la shirikisho la CRDB msimu wa 2025/26 imetangazwa rasmi, huku kila pambano likitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa unaofanana na fainali. Mashabiki wa soka nchini …
Gwiji wa Chelsea, Didier Drogba, ametoa kauli kali kuhusu hali ya soka la Ulaya kwa sasa, akizilenga moja kwa moja klabu kubwa za Real Madrid na Barcelona. Akizungumza kuhusu Barcelona, …
Uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi, Kasarani, unatarajiwa kufungwa rasmi ili kupisha matengenezo makubwa kuelekea michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Hatua hiyo ni sehemu ya maandalizi ya …
Mechi ya mkondo wa pili ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL kati ya Mamelodi Sundowns na Espérance de Tunis imethibitishwa kuwa SOLD OUT, na mashabiki wote tayari …
Nahodha wa Inter Miami CF, Lionel Messi, amerudi Hispania na kununua klabu ya daraja la tano ya UE Cornellà, hatua iliyothibitishwa rasmi na klabu hiyo Alhamisi. Uamuzi huo unaashiria mwanzo …
Kocha wa Chelsea FC, Liam Rosenior, amethibitisha kuwa kiungo Enzo Fernandez amerejea kwenye mazoezi kamili na yupo tayari kuchaguliwa katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United utakaopigwa …
Mshambuliaji wa Aston Villa, Ollie Watkins, amesema bado ana matumaini ya kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya uingereza kwa ajili ya Kombe la Dunia, licha ya kukosekana kwenye …
Manchester United wataanza kuelekeza macho yao kwenye dirisha la usajili la majira ya kiangazi hivi karibuni, baada ya kwanza kujikita kuhakikisha wanapata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa chini ya …
Klabu ya Mbeya City FC imetangaza rasmi kusitisha mkataba na kocha wake mkuu, Mecky Maxime, pamoja na benchi lake la ufundi, kufuatia makubaliano ya pande zote mbili. Uamuzi huo umetolewa …
Tottenham Hotspur wanajiandaa kwa mechi kubwa ya EPL nyumbani dhidi ya Brighton & Hove Albion kesho, huku kocha Roberto De Zerbi akijua kuwa anahitaji sana pointi zote tatu dhidi ya …
Aston Villa ya Unai Emery waliibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Bologna kwenye Villa Park, na hivyo kuhakikisha ushindi wa jumla wa mabao 7-1. Kocha wa Aston …
Kipa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Austria, Alex Manninger, amefariki dunia baada ya gari lake kuripotiwa kugongwa na treni mjini Salzburg siku ya jana. Manninger alikuwa …
Chelsea wanatarajiwa kumpa kiungo Moisés Caicedo mkataba mpya, hatua inayothibitisha dhamira ya klabu hiyo kuendelea kuwa naye kwa muda mrefu, kwa mujibu wa Telegraph. Caicedo alijiunga na Stamford Bridge mwaka …
Utawala wa kocha Hansi Flick ndani ya klabu ya FC Barcelona unatarajiwa kuendelea baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya mdomo ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja zaidi, hatua …
Klabu ya Real Madrid imeanza mchakato wa kusaka kocha mpya baada ya kutolewa katika michuano ya UEFA Champions League kufuatia kipigo cha mabao 4-3 (jumla 6-4) dhidi ya Bayern Munich …
Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema maandalizi ya timu yake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania yameenda vizuri, huku akisisitiza kuwa wanatarajia upinzani mkali …
Kocha wa Arsenal FC, Mikel Arteta, ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuwa kocha wa kwanza katika klabu hiyo kuifikisha timu hiyo hatua ya nusu fainali ya UEFA Champions League …
Kocha wa Bayern Munich, Vincent Kompany, amewapongeza wachezaji wake kufuatia ushindi wa kusisimua dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UEFA Champions League …

