Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola anatarajia kuimalisha kikosi chake kwaajili ya msimu ujao na taarifa za hivi karibuni zinasema, anataka huduma za kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong.

 

frenkie de jong, Frenkie de Jong Aingia Kwenye Rada za Guardiola., Meridianbet

 

Frenkie de Jong alijiunga na Barcelona katika msimu wa kiangazi akitokea Ajax ya Uholanzi, lakini amekuwa katika shinikizo tangu alipojiunga na klabu hiyo kutokana na kushuka kwa viwango wa wachezaji wengi.

Tayari Man City wamesha msajili mshambuliaji wa River Plate, Julian Alvarez kwa kiasi cha takribani £14million na muargentina huyo anatarajiwa kutua Etihad majira ya kiangazi.

Guardiola anafikiria kuboresha kikosi chake licha ya kandarasi yake kuelekea katika miezi 12 ya mwisho na taarifa mbalimbali zinasema City wamemuandalia mkataba mnono kumbakisha Etihad.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa