Pengine anastahili heshima yake na ushirikiano mkubwa ndani ya Arsenal. Mikel Arteta huenda akawa Arsene Wenger wa kizazi kipya.

Baada ya kukabidhiwa timu ambayo haikua imeshinda michezo 7 mfululizo chini ya Unai Emery, Mikel Arteta anaendelea kuonesha uwezo wake wa ukufunzi kama kocha mkuu wa Arsenal.

Mikel Arteta

Ni dhahiri kuwa, Arteta kuna kitu anakiweka kwenye mtizamo na namna wachezaji wake wanavyocheza. Misimu miwili sasa, Arsenal ni timu inayobadilika kuelekea kwenye uelekeo mzuri ambao unawapa mashabiki wake sababu ya kutembea vifua mbele mitaani.

Kwa kuonesha umuhimu wa kocha huyo, Mikel Arteta amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuionoa Arsenal mpaka Juni, 2025. Hii ni habari njema kwa wachezaji na mashabiki wa Arsenal ambao wapo bega kwa bega na kocha wao.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa