Uongozi wa Simba unaamini Yanga walikimbia baada ya kuamua kuondoka uwanjani mapema kutokana na ratiba ya muda kupelekwa mbele ghafla ambapo awali ilikuwa uchezwa saa 11:00 jioni na ukapelekwa mbele mpaka 1:00 usiku.

gomes

Didier Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walijipanga kwa ajili ya mchezo wa jana ila wameshtushwa na kilichotokea kwa kuwa wote walipokea taarifa muda mmoja.

“Hamna namna kwetu imekuwa ni mshtuko kwa kilichotokea, tulijandaa na tulikuwa tayari kwa ajili ya mchezo.

“Zaidi ni kwamba tunaweza kusema kwamba haikuwa sawa kwa mashabiki ambao walijitokeza kuona burudani haijawa hivyo. Tunarudi kambini kwa ajili ya maandalizi mengine kwani tunatarajia kuondoka Jumatatu,”.

gomes, Gomes: Tulijiandaa Kucheza, Tumeshangazwa, Meridianbet

Simba inatarajiwa kukwea pipa Jumatatu kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

gomes, Gomes: Tulijiandaa Kucheza, Tumeshangazwa, Meridianbet

SOMA ZAIDI

12 MAONI

  1. Didier Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walijipanga kwa ajili ya mchezo wa jana ila wameshtushwa na kilichotokea kwa kuwa wote walipokea taarifa muda mmoja.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa