Klabu ya Inter Milan bado inahusishwa tena kwa mara nyingine kutaka kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Olivier Giroud katika dirisha la usajili la Januari.
Mchezaji huyo wa miaka 34 amekuwa kwenye rada yao kwa zaidi ya mwaka mmoja, uvumi juu ya uhamisho wake Januari 2020, na msimu wa joto uliopita ni kama unaende kutekelezwa dirisha lijalo.
Lazio inasemekana pia walikuwa kwenye mazungumzo ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa, ambaye aliongezea mkataba wake mnamo Mei na ukiwa unaisha mwezi Juni 2021.

Kwa mujibu wa Calciomercato, Antonio Conte hajapoteza kabisa matumaini ya kuungana tena na Giroud huko San Siro.
Giroud amekuwa hapati muda mwingi wa kucheza huko Stamford Bridge msimu huu na anaweza kulazimika kutafuta tena mahali pengine atakapopata mda wa kutosha.
Inter ina wasiwasi juu ya kuongezeka kwa changamoto za majeraha kwa Alexis Sanchez, na kutokuwa na mbadala wa uhakika wa Romelu Lukaku na Lautaro Martinez.
Walimtumia Ivan Perisic kama mshambuliaji wa muda kwa michezo kadhaa ya hivi karibuni wakati Lukaku alipokuwa nje.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Povel
Wanawez kupata saini yake kwn Giroud anaonekana Kama Hana. Nafasi ndani ya Chelsea hvy wanawez kumpata kwa urahis kipind cha january
Sadick
Oliver Giroud ni mshambuliaji anayejua kujiweka ktk nafasi ya kufunga na amekuwa na bahati ya kufunga mara kwa mara tena ktk mechi muhimu
Issa
Giroud ni makin sana kujiunga na inter
Hopemwaikuka
Mchezaj wang pendwa
Sabrina
Inter milan wajitahid wataipata saini yake
Fatuma kasomo
Jamaa yupo vizuri
zeiyana
Ni wakati wao sasa inter kuitangaza dau kwa giround
Sauda
Mchezaji bora
Fatina mfigi
Mchezaji Makin sanaa
Carolyn
Oliver Giroud yupo vizuri
magdalena
uyu mchezaji ni makini sana wafanye wamalize tu mazungumzo
Adelta
Kijana yupo vizuri
Dorophina
Muda wa inter milan kuingia sokoni msimu wa joto
Angelina
Namkubali
Rahma
Mchezaji Yuko vizuli mnoo
Lydia Emmanuel Magoti
Mchezaji yupo vizuri wafanye wamalizane kiereweke
aisha
Giroud ni makin sana huyu mtu
Ester jackson
Inter waweke umakini wa kupata saini hapo
David Pere
Inter ina wasiwasi juu ya kuongezeka kwa changamoto za majeraha kwa Alexis Sanchez, na kutokuwa na mbadala wa uhakika wa Romelu Lukaku na Lautaro Martinez.
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizur
Mwajumah
Namkubali
Mariam mtandama
Vizur