Italia: Wachezaji Watakaopinga Chanjo Hawataruhisiwa Kucheza

Italia, waziri wa afya wa ametibitisha wachezaji wote wanaopinga chanjo na wasiotaka kuchanjwa hawataruhusiwa kucheza tena msimu, huku akiibua maswali kwa timu za nje zitakazo kuja kucheza nchini humo.

Tamko hilo la serikali leo limepitishwa na linatarajiwa kuanza kufanya kazi kuanzia  2 January, baada ya wimbi la nne la kirusi cha Omicron kusambaa kwa kasi, pia idadi ya mashabiki watakao ruhusiwa kuingia uwanjani imepunguzwa kutoka asilimia 75 hadi 50 pia watakao ruhisiwa ni wale tu waliochanja.

Italia
Italia

“Wachezaji ambao hawatachanja hawaturusiwa kucheza tena msimu huu, milipuko imekuwa ikibadilika na hatuwezi kuwatoa sadaka kama iliyotuka miaka miwili ilyopita, tumetoa ufafanuzi kuhusu tanko la serikali, tusisahau kuwa kumi kati ya nane waliolazwa hospitali ni watu wasiochanja.”  Alisema waziri wa afya

kwenye ligi kuu ya italia serie A asilimia 98 ya wachezaji wamesha chanja ni asilimia 2 tu ndio mpaka sasa hawajachanja, pia kuna sintofahamu ya Champions League, Europa League na Europa Conference League, World Cup play-off kama itachezwa nchini humo kutokana na tamko hilo la serikali.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.