Kiungo Mwandamizi, Nungunungu, Jonas Gerard Mkude, amesimamishwa kucheza kandanda na klabu yake ya Simba kwa tuhuma za utovu wa nidhamu.
Mkude ambaye alianza kung’ara Simba msimu wa 2011/2012 hadi sasa 2020, anapelekwa kamati ya nidhamu ya klabu kujadili sakata lake.

Taarifa ambayo imetolewa leo na uongozi wa Simba imeeleza kuwa amesimamishwa kutokana na masuala ya utovu wa nidhamu pamoja na masuala mengine.
Habari hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikia ili kamati ya nidhamu iweze kufanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazomhusu Mkude.
Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-
Hata hivyo, uongozi wa Simba haujaweka wazi kosa la Mkude.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



Saupha mohamed
Mkude anajisahau tatizo
Dorophina
Mkude atapoteza uaminifu kwa mashabiki zake
Lydia Emmanuel Magoti
Duuu mkude anachofanya sasa sio kitu poa angalie
Fatina mfingi
Duuh sio powah kwakeli
Mwanahamisi
Mkude atapoteza uwaminifu
Asia Abdy
Shuhuli mnayo Simba
warda
Huyu mkude kila siku matukio tu
Tatu
Wanalewa na umaalufu
Sarah
Umaarufu umemfanya mkude ajisahau
Rahmal
Mmmh mkude atali kwa nn unajishau sana
Hopemwaikuka
Aadhibiwe tu
Caroline
Utovu wa nidhamu huo
Angelina
Nidhamu yake sio nzuri apewe tu adhabu
Shakila mrope
Tumeshamchoka huyo mkude kila siku ni yeye
Sania
Mkude ajirekebishe la sivyo atapotea katika soka
Zahara omary
Apewe adhabu tu