Baada ya tetesi nyingi sana zikimuhusisha beki kisiki wa RB Leipzig, Ibrahima Konate hatimaye yametimia baada ya kinda huyo mwenye miaka 22 tu kutangazwa rasmi na klabu hiyo kuwa amesaini kandaras ya miaka 5.

Konate amejiunga na Liverpool akitokea Leipzig ambapo alifanya makubwa sana na kuvutia scout wa Liverpool ambao walikuwa wakitafuta namna ya kuboresha kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao.

Ibrahima ataungana na beki wa kati wa timu ya Liverpool, Virgil Van Dijk ambaye hajakuwa na utimamu wa mwili kwa muda sasa.

Konate ana umri 22 tu lakini anategemewa kwenda kuleta mabadiliko makubwa pale Anfield kutoka na ubora wake wa kusakata kabumbu.

BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa