Pigo kwa Chelsea Jeraha la Ben Chilwell!

Chelsea wameripotiwa kupata pigo kubwa kutokana na taarifa kwamba Ben Chilwell atahitaji kufanyiwa upasuaji wa jeraha la goti.

Baada ya kufanyiwa tathimini wa awali, timu ya madaktari ya Chelsea ilifanya uamuzi wa kusubiri wiki sita ili kuona kama suala hilo linaweza kutatuliwa bila upasuaji.

Hata hivyo, kwa mujibu wa football.london, mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza sasa ameambiwa kwamba atatakiwa kuwa nje nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Pigo kwa Chelsea Jeraha la Ben Chilwell!
Ben Chilwell, Chelsea.

Ripoti hiyo inadai kuwa tathimini ya pili ilifanyika Jumatatu, hitimisho likiwa kwamba kijana huyo mwenye umri wa miaka 25 atahitajika kufanyiwa upasuaji.

Sakata hili litamfanya ben Chilwell kuwa nje kwa muda wote uliosalia wa msimu, na hivyo kumlazimu kocha mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel kutafuta mbadala wake wakati wa usajili wa dirisha dogo la usajili la mwezi Januari.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.