Lionel Messi amesema kuwa atasalia klabuni Barcelona!
Kwa mujibu wa Skysport, Lionel Messi ameamua kusalia Barcelona. Messi anatambulika kama nyota mwenye mafanikio makubwa sana katika soka kutokana na uwezo wake na mchango wake mkubwa, hasa katika mafanikio ya Barcelona.
Lionel Messi amekuwa sehemu ya historia muhimu ya klabu ya Barcelona. Mara kadhaa kulikuwa na taarifa za mambo kutokuwa sawa kati yake na klabu yake. Kitu kilichomfanya ahusishwe na kuondoka klabuni hapo.
Baada ya Barcelona kupokea kichapo cha bao 8-2 cha Ligi ya Mabingwa Ulaya, Lionel Messi aliriripotiwa kupeleka ombi la kutaka kuondoka klabuni hapo.
Sakata la Messi kuondoka klabuni hapo lilikuwa kubwa zaidi kutokana na dau ambalo klabu ilitaka la Euro milioni 700 ikiwa Messi anataka kuondoka. Vilabu kadhaa, wakiwepo Manchester City tayari walikuwa katika mchakato wa kuiwania saini yake.

Ilikuwa danganya toto Lionel Messi kutaka kuondoka?
Kila mtu ana maoni yake katika hili. Baadhi ya wataalamu wanadai kuwa ilikuwa ni namna ya Barcelona kujipa mda zaidi wa kujaribu kumbembeleza Messi kusalia klabuni hapo baada ya kumtibua kwa mambo kadhaa.
Messi mwenyewe anasema kuwa alikuwa na namna tofauti kama angeamua kushinikiza kuondoka, nayo ingekuwa kuwapeleka Barcelona mahakamani. Lakini siyo kitu alichokuwa akifikiria kwa sababu ya mapenzi yake na Barcelona.
Kwa mujibu wa chapisho la Skysport, Nyota huyu amenukuliwa akisema yeye anasalia Barcelona.
“Ni klabu yangu ya maisha, maisha yangu yapo hapa. Nimejijengea maisha yangu hapa. Barca wamenipa kila kitu na nimewapa kila kitu. Najua kuwa akili yangu haikunituma kabisa kuwapeleka Barca mahakamani.”
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.
Sauda
Messi hawezi kuondoka Barcelona
Fatina mfigi
Messi Barcelona ndo nyumban kuam itakuwa ngumu
Povel
Wengi walitumain hlo ni ngumu Sana la pluga kuondoka nou camp na hata day lake sokon vilabu vikubwa vimeshindwa kununua kutokana na financial player kuogop kufungiwah sual la kubak wengi wapenda soka wametegemeah hlo na limetokeah
Adelta
Ilikuwa ngumu sana Messi kuondoka Barcelona@meridianbettz
Ernest
Lionel Messi kuendelea kubaki ndani ya Barca ni utopolo tuu hakuna jipya mimi nimeshaamia zangu Mancity na sirudi Ng’ooo
magdalena
nilijua tu messi kusepa barcelona ni ngumu sana pale atacheza mpaka kustaafu kwake
sylvester
Kwa upande wangu ni vizuri kubakia Barcelona ingawa hatakua na furaha tena Pale na sidhani kama atacheza kama zamani kwa moyo mmoja,basi ngoja amalize msimu huu ili aondoke free ila ukweli Messi hana mpango tena na Barcelona
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa Barca kwa mkongwe wao kuamua kubaki klabuni hapo baada ya maneno mengi yaliyo tapakaa kwamba anataka kuondoka hatimaye tumepata jibu Messi hawezi kutoka Barcelona
Janeflora malisa
Hbr njm
felister
huyi Messi nae anataka kuvuruga watu kwani wakati anatishia kuondoka hakulijua hilo kama barca ni klabu yake ya maisha…?
Zeiyana
Habari njema kwa mashabiki was Barcelona kiukweli ulikua wakati mgumu sana kwa clabu nzima na mashabiki wote kwa jumla..!me naona messi alikua hanaangalia thamani yake kama hipo kiachana na kichapo walicho pigwa na Bayern na yeye akiwepo
Tatu
Kitendo cha mess kutaka kuondoka Barcelona naona kiliumiza kichwa watu wengi hasa wapenzi wa Barcelona ni jinsi gani mess alivyoibeba Barcelona yaani bila yeye mpira auchezeki kesho na keshokubwa mchezaji akiaza kufanya ujeuli inakuwaje
Caroline
Home is best.naona kaamua kubaki nyumbani
Mwajumah
Messi nae alikua anatapatapa tu bola alivyoamua kubak apo barca#Meridianbettz
Shani
Geresha Geresha zake alita kuandika history kuwe na kumuongelea msimu huu!!
Nasra
Gud news
Mwanahamisi
Messi hawezi kuondoka barcelona
Elika
Mess ni mchezaji mkubwa sana Barcelona hivyo ni vyema angeendelea kusalia tu hapo
aisha
Habari njema messi piga kazi broo
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana alicho kiamua Messi yeye Kama yeye kusema kwenye mdomo wake Kama atasalia Apo apo Barcelona ndio uwamuzi walio kuwa wanausubilia watu kutoka kwake Messi
lombo
hana jeur ya kutoka barca
Flomena
Nilijua tu Barcelona hawawezi Muachia Messi kizembezembe hivyo
Saupha mohamed
Messi kuama barca ngumu
Shafii
Wana barca sasa shangwe na chereko kuona mfalme kasaria clubuni hapo.
farida ahmadi
Maamuzi mazuri Sana Messi
Amiri Kayera
Ni taalifa Nzur tulio isubir
Latifa juma mohamed
Messi hawezi kuondoka Barcelona
Latifa juma mohamed
Home is the best.naona kaamua kubaki nyumbani
Hope mwaikuka
Nlkua tu awez ondoka hapo
Devotha
Good
Issa
Mess kuondoka ningum ye ndio kioo cha barca
Genia Sikaluzwe
Good
David Pere
Wengi walitumain hlo ni ngumu Sana la pluga kuondoka nou camp na hata day lake sokon vilabu vikubwa vimeshindwa kununua kutokana na financial player kuogop kufungiwah sual la kubak wengi wapenda soka wametegemeah hlo na limetokeah
Isaya massawe
Kafanya maamuzi sahihi
Khadija
Kafanya maamuzi sahihi#meridianbettz
Gabriel
Lionel Messi kuendelea kubaki
Rehema
Good
Sabrina
Messi anazingua sana watu wanamtaka asiing’ang’anie barca kama ya babaake
Ester jackson
Duuh hata tunangojea tuone
warda
Messi nae hata haeleweki
Furahav
Gud
Samiah
Gud