Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis Van Gaal anadhani kuondoka kwa  Ed Woodward kwenye klabu ya Manchester United ni nafasi kwa Erik Ten Hag kupata nafasi ya kuwa moja ya mokcha watakaofanikiwa kwenye klabu hiyo.

Louis Van Gaal aliwai kuifundisha klabu ya Manchester United kati ya mwaka 2014 na 2016 kabla ya kufungashiwa virago, Van Gaal alimuonya Ten Hag kuhusu hatari ya kufanya kazi kwenye viunga vya Old Trafford mwezi March.

Louis Van Gaal

Van Gaal alisema Ten Hag anapaswa kufikilia kukataa kazi ya kuifundisha klabu hiyo, kwa sababu United ni klabu ya biashara na ni bora aende kwenye klabu ya mpira.

Ijapokuwa, Ten Hag aliachana na Ajax na kujiunga na klabu ya Manchester United Mwezi Uliosha na Louis Van Gaal alinukuliwa akisema, “Kwa sasa kuna uongozi mpya. Ilikuwa  Woodward na sasa ni Richard Arnold na hiyo inaweza kuleta utofauti. Kwaiyo inabidi tusubili na tuone.

“Ten Hag anajiamini sana. Mimi ni nani wa kuzungumzia hilo?”


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa