Madrid Wagoma Dili la Dele Alli na Bale

Real Madrid wameripotiwa kuwa wameikataa ofa ya Tottenham Hotspurs ya kumtumia Dele Alli kama sehemu ya mchakato wa uhamisho wa Gareth Bale.

Real Madrid walikuwa wanatajwa kuwa wapo katika mipango ya kupeana taraka na nyota Gareth Bale ambaye ana miaka 31 kwa sasa, sababu ikitajwa kuwa ni ukubwa wa mshahara na kutoendana na meneja Zinedine Zidane.

Kutokana na Bale kutokuwa kwenye mipango ya Zidane, wakala wa Bale anasema kuwa staa huyu anataka kurejea Uingereza na tayari vilabu viwili vimeshaonesha nia ya kuitaka saini yake.

Madrid Wagoma Dili la Dele Alli na Bale
 

Spurs ni moja ya klabu ambazo zipo kwenye mazungumzo ya kuinasa saini ya nyota huyu, hata hivyo, mshahara Gareth Bale unaonekana kuwa unaweza kuwa changamoto kwa Spurs na katika mpango wao wameamua kumhusisha Dele Alli kama sehemu ya dili hili.

Kwa mujibu wa chapisho la The Express, Real Madrid hawana mpango wowote wa kumsajili Dele Alli licha ya kuwa na nia ya kutaka kumuuza Bale kwa sasa.

Real wameshusha ada ya staa huyu hadi kufikia £18m kwa klabu ambayo itakuwa tayari kumchukua na kumsainisha mkataba wa kudumu, ila kama hili halitawezekana anaweza kuondoka Real kwa mkopo wa mwaka mmoja kwa sasa.


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

37 Komentara

    Kwa ali ya uchumi ilivyo sujui kama bale hataweza kupata usajili clabu yengine labda kama inavyo semekana kwa mkopo

    Jibu

    Bora Madrid wameshtuka

    Jibu

    Bora iwe hivyo

    Jibu

    Ata Kama wamekataa lakini watu kibao wanawinda saini yake

    Jibu

    madrid kumtoa bale ni ngumu sana ana mchango mkubwa sana pale

    Jibu

    Bale kutolewa madrid ni ngumu sana#Meridianbettz

    Jibu

    Bale kutolewa Ni ngumu kumeza#meridianbettz

    Jibu

    Madrid wana akili sana wameshituka

    Jibu

    Bora hvyo tu

    Jibu

    Bale kwa umri wake miaka 31 na kiwango chake kimeshuka Sana angefanya akapunguza mshahara wake.

    Jibu

    Duh!

    Jibu

    Bale inavyoonyesha anawez kurudi totenham

    Jibu

    Afadhali Madrid wamegundua hilo

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Bale kutoka Madrid ngumu

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Aiwezekan ilo

    Jibu

    Bale kiwango chake kimeshuka Sana angefanya akapunguza mshahara wake

    Jibu

    Watakuwa wameona mbalii wameshindwa kukurupuka

    Jibu

    Good#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mchezaj awamtuu c wamuache asepe

    Jibu

    Bale jembee

    Jibu

    Bale atafute pahala pengine atakapokuw anathaminw arudishe hadhi yake

    Jibu

    Bale no mchezaji mzuri madrid bado wanamuhutaji tu

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Ni vizuri ikawa hivyo

    Jibu

    Hapo pagumu

    Jibu

    Duu!

    Jibu

    Mbona kama sio sawa sasa kumtoa kwa style hyo hawataki si kumpotezea muda mchezaji huko …ndio maana anawagomea anawapiga hela ya mshahara tu

    Jibu

    Licha ya mshara wanachofanya real madrid ni kumkomoa bale na sio kingine

    Jibu

    Real Madrid wanataka kumkomoa bade Mara ngapi ofa zimejitokeza wakakataa na kiwango chake kushuka ni kwa sababu hajapata nafasi nyingi za kucheza

    Jibu

    Dele Alli kuingia kwenye Balaa tena la kuwa chambo lakini mambo magumu hii ni dalili ya Bale kuendelea kutapatapa kupata timu.

    Jibu

    wamtoe kwa mkopo kama vipi

    Jibu

    Madrid wameona wakiwauza wachezaji hao awatapata mchezaji mzuri kama bale

    Jibu

    Real wameshusha ada ya staa huyu hadi kufikia £18m kwa klabu ambayo itakuwa tayari kumchukua na kumsainisha mkataba wa kudumu, ila kama hili halitawezekana anaweza kuondoka Real kwa mkopo wa mwaka mmoja kwa sasa.

    Jibu

    Covid-19 imesababish yote haya Madrid wanashindwa fungu la kumlipa bale wanatafut timu ya kuchanga nayo kwl majanga kwl

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.