NBA Play-Offs: Nuggets Waiondoa Clippers

Kunako michezo wa NBA Play-Offs, Denver Nuggets wameweka historia ya kupindua matokeo ya 3-1 kwenye mchezo mmoja dhidi ya LA Clippers.

Mchezo wa Nuggets dhidi ya Clippers umechezwa mara 7 mpaka kumpata mshindi ambaye atacheza fainali ya Western Conference dhidi ya LA Lakers.

Jamal Murray aliifungia Nuggets pointi 40 katika mchezo ambao wamewagaragaza Clippers kwa pointi 104-89.

“Tuliaminiana” amesema Jamal Murray baada ya mchezo huo.

Kabla ya mchezo huu, Nuggets walihitaji michezo 7 ili kuwaondoa Utah Jazz na sasa wamerudia tena mtindo uleule kuwaondoa Clippers.

Kwa kipigo hiki, historia ya Clippers inaendelea kuimarika wakiwa hawafuzu fainali yeyote kwenye Conferences za NBA kwa miaka 50.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

13 Komentara

    pongezi kwake alifanya vizuri sana

    Jibu

    NBA wanakuja na speed sio ya kitoto

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    NBA mambo yamepamba moto

    Jibu

    Duuu nba asaivi haitabiriki kabisa

    Jibu

    Asanteee kwa taarifa

    Jibu

    Amefanya vizuri

    Jibu

    Wako vizuri

    Jibu

    NBA mambo yanazidi kuwa mazuri

    Jibu

    NBA kumenoga

    Jibu

    NBA kumepamba moto

    Jibu

    NBA inakuja vzur

    Jibu

    Wako vizurii

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.