Mchezaji wa klabu ya Manchester United ambae pia ni nahodha wa klabu ya hiyo imeelezwa hataondoa klabuni hapo.

Beki huyo siku kadhaa nyuma alihusishwa kutimkia katika klabu ya Chelsea ya jijini London lakini taarifa zinasema Harry Maguire atasalia klabuni hapo kupambania nafasi yake.

Hakuna makubaliano baina ya Chelsea na Manchester United juu ya beki huyo raia wa uingereza.

maguire, Maguire Haendi Popote., Meridianbet

kumekua na mapingamizi makubwa sana kwa beki huyo hasa upande wa mashabiki wa United ambao wamekua hawavutiwi na utumishi wake ndani ya klabu hiyo kutokana na kiwango kibovu ambacho amekua akikionesha beki huyo wakiamini hana hadhi ya kuitumikia klabu hiyo. lakini taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kua mchezaji huyo atasalia klabuni hapo na kuendelea kuipambania nafasi ndani ya Manchester United.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa