Everton wanamtaka Conor Gallagher wa  Chelsea au Armando Broja kama sehemu ya mpango wa kumsajili Anthony Gordon.

gallagher, Everton wanamtaka Gallagher au Armando Broja, ili Chelsea kumsajili Anthony Gordon., Meridianbet

Chelsea wametoa ofa ya paundi milioni 50 pamoja na nyongeza ya paundi milioni 10 kwa Gordon mwenye umri wa miaka 21, ambaye ameiambia Everton kuwa anataka kuhamia Chelsea.
Ofa ya paundi £40m kwa Gordon ilikataliwa mapema mwezi Agosti, hata hivyo, wako tayari kufanya biashara wakati huu.

Lakini Everton wana nia ya kumchukua Gallagher au Broja kwa mkopo, ambao waliichezea Crystal Palace na Southampton mtawalia msimu uliopita, kama sehemu ya mpango huo.

gallagher, Everton wanamtaka Gallagher au Armando Broja, ili Chelsea kumsajili Anthony Gordon., Meridianbet

Kocha wa klabu ya Everton Frank Lampard alithibitisha Chelsea kumtaka mchezaji wake lakini akasisitiza Everton haitajitenga tu na kumwacha mchezaji wao kuondoka.

“Hali hii inapaswa kuwa sawa kwa Everton na kwangu kama kocha wa timu kwa hivyo tuko katika nafasi ile ile tuliyokuwa siku chache zilizopita.”

Alipoulizwa kama ana uwezo wa kumkataza Gordon kwenda Chelsea, Lampard aliongeza: “Hilo linasikika kuwa la kushangaza!

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa