Man Utd Wana Wiki Mbili za Majadiliano na Pogba

Klabu ya Man Utd imebakiwa na wiki mbili tu za kufanya mazungumzo na kuingo wake Paul Pogba kabla ya kufunguliwa kwa dirisha la usajiri mwezi januari ambapo atakuwa huru kuweza kufanya mazungumzo na klabu yeyote. 

Klabu ya Man Utd hivi karibuni ilikuwa na mazungumzo ya kuwapa wachezaji wake mikataba mipya lakini hawakuwa na mpango wa kuongeza mishahara  hii ilipelekea wengi kutofikana makubaliano ikiwemo pamoja na Pogba.

Man Utd

Kocha mkuu wa United amekuwa akiirudia  kauli yake ya kutokuwa na msukumo wowote wa kumshawishi mchezaji yeyote aili aweze kusalia klabuni pia  alimruhusu pogba kuweza kusafiri kwenda dubai kwa ajiri ya kujiuguza majeraha yake.

Kwa sasa Pogba amerudi Uingereza baada ya kuzungumza na kocha wake huku akiwa bado hafahamu hatima yake ndani ya klabu hiyo huku mkataba wake wa sasa ukiwa unaisha mwezi Juni.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.