Klabu ya Manchester City ipo kwenye mchakato wa kufanya upanuzi wa uwanja wao wa nyumbani kwenye jukwaa la kaskazini kwenye uwanja wa etihad na kuweka muonekano wa pembe tatu.

Manchester City wanataka kuongeza uwezo wa majukwaa mawili ambayo yalibaki kwenye maboresho yaliopita, miaka saba baada ya kufanya maboresho ya jukwaa kusini.

Mradi wa kwanza wa upanuzi ulifanyika mwaka 2015, ambapo idadi ya siti 6000 ziliongezwa na kufanya uwanja huo uweze kubeba watu 53400 kwa mara moja. Pia mpango wa pili wa maboresho ya uwanja huo yalipitisha mwaka huo huo lakini hakukuwa na usajiri rasmi uliosajiriwa.


Manchester City walijenga uwanja wao mwaka 2002 kwa ajiri ya michezo ya jumuiya ya madora, na ukapindisha hadhi kwa ajiri ya kuchezea michezo ya ligi kuu ya Uingereza tangu mwaka 2003.

 

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa