Thomas Tuchel anasema kuwa hawezi kuelezea ukame wa magoli wa Kylian Mbappe kwenye Ligi ya Mabingwa lakini ana imani nyota huyo wa Paris Saint-Germain atarejea kwenye fomu na kuendelea kuleta mchango mkubwa kikosini.

PSG wapo kwenye kibarua kigumu zaidi msimu huu, wanakabiliwa na changamoto ya kupenya kwenye 16 ya michuano hii ya UCL baada ya muendelezo wa matokeo yasiyoridhisha sana kwenye hatua ya makundi.

United, baada ya kushinda mechi kule Paris, wanaongoza Kundi H wakiwa na alama tisa, huku PSG na RB Leipzig wakiwa na alama sita kuelekea michezo miwili ya mwisho.

Mbappe

Mbappe hajafunga bao kwenye Ligi ya Mabingwa tangu ushindi wa 5-0 dhidi ya Galatasaray mnamo Desemba 11 mwaka jana, licha ya kupata mashuti 11 – pamoja na nafasi moja muhimu muhula huu.

Akizungumzia juu ya Kylian Mbappe

“Siwezi kuelezea kwa sababu ana kila kitu kinachohitajika kupata alama katika kila ngazi. Ana ubora, uweo na uzoefu wa kuamua.”

Ni matumaini ya meneja huyu kuwa Mbappe atarejea kwenye njia zake za ushindi na kuendelea kuwa tishio, licha ya mafanikio hafifu mpaka sasa.


 

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Mbappe, Maneno ya Tuchel Mbappe Kutokuwa na Magoli UCL, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

21 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa