Micho "Simba Imelamba Dume"

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Zambia Milutin ‘Micho’ Sredojevic Chipolopolo asifu usajili wa Larry Bwalya ndani ya Simba SC.

“Simba ni timu nzuri na kubwa ukanda wa Afrika Mashariki. Larry ana uwezo mzuri sana hususani kwa timu ambayo inatumia mfumo wa total football. Simba nawajua, Simba ni waumini wa hilo kwa falsafa za rafiki yangu Sven. Mafanikio yake huko ndio uimara wa mimi kumtumia national team endapo atakuwa vyema“.

Waandishi wengi wa habari za michezo nchini Zambia, wameusifu usajili wa mchezaji huyo ambaye wanamtambua kama “ locomotive-box to box midfielder mwenye uwezo mzuri wa kupiga pasi zenye macho, kuibadili mfumo wa uchezaji kwa maana ya ku- unlock patterns za ulinzi za mpinzani.

Msimu wa 2017-18 , almanusura Larry Bwalya aungukie kwa wapinzani wakubwa wa timu aliyokuwa akiichezea ya Power Dynamo , timu ya Nkana Red Devils. Power Dynamo walipambana kumbakisha Larry kwa kumuongezea dau katika mkataba mpya na mshahara wake.

Ni mchezaji mpole na mwenye nidhamu ndani na nje ya uwanja .

“Wakala wangu aliniambia Simba na Yanga za Tanzania zinanitaka. Nikamwambia nahitaji kucheza klabu bingwa Afrika “ alisema Bwalya

Maneno ya Bwalya ndio yamewanyima Yanga SC ya Tanzania kumnyakua kiungo huyo mwenye uwezo mkubwa na kujikuta mikononi mwa wapinzani wao Simba SC .


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma zaidi

36 Komentara

    Mashabiki tumefurahishwa na usajili @meridianibettz

    Jibu

    Hayo maneno yake tu tutakutana kwenye mtanange…! watu kama hao mwenye maneno maneno mwisho wa siku wanatokea wakina Morrison

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Asante kwa makala#Meridianbettz

    Jibu

    Karibu sana simba ili utupe matunda uliyonayo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Karibu msimbazi!!

    Jibu

    Pongezi kwenu Simba kwa usajili mzur!!

    Jibu

    Safiiiii

    Jibu

    Habari njema izi

    Jibu

    Simba wapo vizuri wanajipanga kwa msimu ujao tukutane uwanjani

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    Habari Nzuri kwa sisi mashabiki wa wa mzimbazi

    Jibu

    MIruzi mingi umpoteza Mbwa, ngoja tuone kazi yake msimu ukianza hii ndio Tanzania bhana

    Jibu

    Majina ya Bwalya ni makubwa ktk soka nchini Zambia. Tunatarajio kuona uwezo wake uwanjani. Hongera Simba#meridianbettz

    Jibu

    Vigezo na masharti kuzingatiwa, simba angalieni msije mkapitiliza idadi ya kusajili

    Jibu

    Acha tuone maneno mengi ya nini

    Jibu

    Pongezi za dhati ziende kwa uwongozi wa simba.

    Jibu

    Pongezi kwa simba

    Jibu

    Wana simba wana kiu ya kuona uwezo wake.

    Jibu

    Aah maneno tu simba wana kawaida ya kumkizisha mchezaji

    Jibu

    Safi sana simba

    Jibu

    Welcome bwalya in Tanzania.

    Jibu

    Karibu Sana Simba sports club kijana Bwalya👏

    Jibu

    Usajil uko on fire

    Jibu

    Ngoj tuone msimu ujao tumpe credit

    Jibu

    Pongez kwao

    Jibu

    Hayo maneno yake tu tutakutana kwenye mtanange…! watu kama hao mwenye maneno maneno mwisho wa siku wanatokea wakina Morrison

    Jibu

    Tunashukuru kwa kupata sifa hizo#Meridianbettz

    Jibu

    simba ikiendelea na juhudi hizi vizuri itanyakua makombe mara dufu

    Jibu

    Pongezi kwa uwongozi wa simba.

    Jibu

    Safii sana kwa habari

    Jibu

    Usajil wao uko vzur

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki

    Jibu

Acha ujumbe