Ni miaka 12 sasa Tottenham wanakaa bila kushinda taji. Meneja wa sasa Jose Mourinho anaamini yeye ndiye mwenye ya kubadilisha historia ya wana hawa wa London.
Mourinho, anatarajia kuwa ataondoka ukame wa mataji klabuni hapo kabla ya mkataba wake kuisha, akiongeza jitihada za Spurs pale alipoishia mtangulizi wake Mauricio Pochettino.
Msimu wa mwaka jana walifanikiwa kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa, lakini haikuwa bahati yao kuondoka ukame wa mataji tangia mwaka 2008 waliposhindwa Kombe la Ligi. Msimu huu pia unaelekea kuisha patupu.
Wakati Mourinho alipanga kuwa atahakikisha wanaondokana na ukame wa mataji, amebainisha kuwa itachukua mda na inahitaji uvumilivu. Ametumia mfano wa Liverpool waliosubiri miaka 30 kuchukua taji EPL kuonesha kuwa inahitaji uvumilivu.
Kwake yeye, anaweza kumtazama Jurgen Klopp pale Liverpool kama mfano. Klopp ametumia miaka 4, ambayo ni misimu 4 kuhakikisha wanapata taji la EPL. Bila shaka inawezekana kwa Tottenham na timu yeyote inayojipanga na kuwekeza kwa umakini kwa wachezaji wazuri.
Mourinho anaamini klabu ipo tayari kuwekeza. Na tayari wamefanya hivyo katika madirisha kadha yaliyopita. Nafasi yake ni kuangalia klabu inataka nini kushinda na hataki kuangalia tena mafanikio yake binafsi.
Unafurahia kubashiri michezo gani? Hapa Meridianbet ndiyo nyumbani. Unapata fursa ya kubashiri michezo mingi upendavyo. Kuanzia Soka mpaka Casino.
JISAJILI HAPA UFURAHIE BONASI NA USHINDI


Fatuma kasomo
Gud news
Dorophina
Tottenham inatakiwa wapate kocha mzuri wakuweza kuwasaidia kuwapandisha daraja
caroline
jose mourinho kweli utaweza kubadilisha historia ..aya tunasubiri tuone
mwajuma
Habari nzuri
Magdalena
Tottenham hawawezi kupata Mataji wakiwa na Mourinho labda coach abadilishwe
isha
Poleni sana tottenham kwa kukosa mataji ndani ya miaka 12 tatizo hamna kocha mbunifu mkipata kocha mbunifu mtapata mataji
Genia Sikaluzwe
Tottenham wanatakiwa kupata kocha mzuri wa kuwaongoza ili wawezi kupanda daraja
Angelina
Goodupdate
Tatu
Tottenham wanatakiwa kujitahidi na kujituma wenyewe sio mpaka kusubili mourinho hayo ni maneno yake kila klabu lazima aongee
Mwanahamisi
Gud news
Zeiyana
Ni kweli Tottenham wawe na uvumilivu tu wampokee mourinho kwa moya mmoja mourihno ni kocha wa kipee akiamua hanaweza na imani hatahakikisha wanaondoka na ukamae wa mataji hinaitaji uvumilivu kuchukua mfano wa Liverpool walio subir miaka 30 kuchukua taji la EPL
Hamidu
Jose Hana mpya kaja kuiharibu spurs#meridianbettz
felister
kwa upande wangu mourhino hawezi ifikisha spurs kokote
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli Mourinho anacho kisema
Mariam mtandama
Makala mazur
Ester jackson
Jose Mourinho anaweza kuwafanya kufika katika lengo ambalo wanataka kufika kama tu wataenda nae sawa mana ukiangalia katika historia yake ameshawapa ubingwa Chelsea na kama wakisikilizana pia anaweza kufanya hivyo ingawa kunamakosa madogo madogo yaliyo upande wake kama binadamu tu .asante meridian kwa nakala
Franky
Nafasi ya kuangalia club ina taka nini ndo muimu ili awze kuleta wachezaji wenye uwezo na konki
Samira
Jose mourinho katulie tu nyumbani ulee wajukuu mpira umeshakukataa
Revina
Mourinho ni kocha mzuri ila kwa sasa ameshachoka apumzike
Ester mmakasa
Safi sana monrinho kwa kutokata tamaa.
Ernest
ourinho anamkosi wake tuu unamuwinda wakati wote, zama zake zimekwisha sasa
Povel tz
Special one Jose Mourinho history inambeba kila timu aliyopitiah alifanikiwah kuwapa mataj co hata mm nategemeah makubwa kutoka kwake
lombo
gud news mambo ni moto na meridianbet
Amiri Kayera
Morinho Kwa totenham nakataa
Njiku
Mourinho ni kocha mzuri sana mataji watapata ila mfumo wa wachezaji kwa ujumla ataubadilisha watadiffence baraa timu haitochezaa
Rehema
Gud news
Edgar
acha uwongo bhn
Samiah
Good
Issa
Pambana tu mournho
devotha
Joseph Morinho ni kocha mzuri sana anaweza akafanya mabadiliko kweli
Furahav
We morinho hauna lolote.
Hope mwaikuka
Yetu macho na masikio
Sadick
Daniel Levy alifanya uamuzi mbaya kumufukuza Pochettino na tangu aondoke na kuja Mourinho sijaona mpira wowote wa timu inayotaka kuchukua Kombe lolote#meridianbettz
Theonestina
Habari nzuri
Omary lukumbi
José morihno ni kocha mzr wakimuamini na kumvumilia wakampa.muda basi special one atafanya yake
Salma
Zidi kuwatia moyo
Asia Abdy
Shuhuli hana huyo
David Pere
So kweli ansjiko anjikosha tu Hana jpya
Flomena
Wakimsikiliza kocha na wakiwa na umoja wanaweza twaa hayo mataji
Shafii
Gud news
mwakalosi
hahaha mzee ubora umekwishwa
warda
Jamani Acha ajipe matumaini#Meridianbettz
sabrina
Tunasubiri tuone mabadiriko kutoka kwa Josee Morihno
farida ahmadi
Mwenye macho haambiwi tazama ngoja tujionee wenyewe