Meneja wa Chelsea, Frank Lampard anasema kiungo wake kinda, Billy Gilmour atakuwa nje kwa karibu miezi mitatu hadi minne baada ya kufanyiwa operesheni ya goti.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Scotland mwenye umri wa miaka 19, aliingia kwenye mazoezi ya kudumu na timu ya kwanza ya The Blues msimu huu na amecheza mara 11 msimu huu.
“Nimesikitishwa sana, kama ambavyo sote tuko hapa,” Lampard alisema.
“bado ni kijana mdogo, lakini alimgonga sana, tena ni kama kijana mdogo ambaye anatafuta mafanikio.”

Gilmour, ambaye alijiunga na Chelsea akitokea Rangers mnamo 2017, alianza kujulikana zaidi kuwa yupo bora wakati alipoisaidia Klabu yake kuipiga Liverpool kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Kombe la FA mnamo Machi… Tangu hapo amecheza kwa Ubora mkubwa tangu alipopewa Nafasi katika kikosi hicho..


David Pere
Majanga mengine Tena hayo maana atakosa hata maandalizi ya msimu ujao na mechi za mwanzo wa msimu
Zuhura omary kindamba
Hii ni Habali mbaya kwa mashabiki
Aziza mushi
Duh hizi siyo habari nzuri kwa mashabiki.
mwakalosi
msije sema fitina za united maana naoana lawama zimeanz kuzagaa tu
Flomena
bado ni kijana mdogo, lakini alimgonga sana, tena ni kama kijana mdogo ambaye anatafuta mafanikio
Leonard
Apone haraka bado kijana tunatarajia mafanikio makubwa kwake
Omary lukumbi
Duu hii habar mbaya kwa shabiki wa Chelsea na jambo zur lampad kuanza kupandisha makinda kujichukulia uzoefu ligi kuu
Hamidu
Duu!habari mbaya kwa Chelsea
felister
very sad news
Samira
Habari mbaya hii kwa Chelsea na mashabiki wake
Amani
Now naamini msemo wa ndugu yangu man u lazima atimbe top four#meridianbettz
Fatuma kasomo
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa Chelsea
Dorophina
Chelsea Wana nn mboa wachezaji wao wanapata majeraha sana pole yake gilmour anakosa mazoezi yote mpaka ya msimu ujao
caroline
pole sana.utapona na utarejea mazoezini tena
mwajuma
Daah ni habari mbaya kwa chelsea pamoja na mashabiki
Magdalena
Hizi habari mbaya Sana
Ester jackson
Habari mbaya sana haswa kwa sisi mashabiki wa Chelsea mana kama nawaona man u wanavyo zidi kutuombea njaa ila lazima tupite tu hataiweje
Genia Sikaluzwe
Hizi ni habari mbaya mno
isha
Pole sana billy ila utapona sisi mashaniki wako tunakuombea upone
Lydia Emmanuel Magoti
Pole Sana mungu atakusahidia utaludi kwenye Hali yako Billy Gilmour
Mwanahamisi
Habari mbaya kwa chelsea
Zeiyana
Ni kijana mdogo hambaye mwenye histor yake pole sana billy gilmour hizi zinaitwa ajali kazni lakini maajabu yako tumeyona mungu atakupa unafuu utarudi kwenye ali yako ya kwaida
Mariam mtandama
Duuuh
Franky
So sad story
Revina
Ni majanga ktk timu ya Chalsea ni nafasi nzuri kwa Man u kubaki Top four
Ester mmakasa
Daah! Uguwa pole kijana mpambanaji.
Ernest
Ni Muda wa Lampard kutumia wachezaji wengine ambao huwa wanakaa Bench
Povel tz
Get well soon 🙏🏼
Nasra
Pole sana utapona soon tu
lombo
gud news
Samiah
Habari zakuckitisha kwa chelsea
Njiku
Hizi habiri sio nzuri sana kwa mashabiki wa chelsea maana wanasumbuliwa na majeraha sana kwenye klabu hiyo
Rehema
Hii ni habari mbaya sana kwa chelsea
Isaya massawe
Afya ni muhimu kwa mchezaji akae hadi atakapokaa sawa atarejea
Furahav
Duuh majanga.
devotha
hizi ni habari mbaya sana chelsea
Hope mwaikuka
Duh!
Sadick
Bill na Cante wameumia wakati wanahitajika mno katika vita ya kubaki top four#meridianbettz
Theonestina
Duuuh hii Sio poa kabisa yaan
Salma
Habari mbaya kwa mashabiki wake
Asia Abdy
Duh jaman
Shafii
Ni pengo kwa Chelsea.
warda
Jamani pole yako#Meridianbettz
Issa
Pole yake
sabrina
Duuh hatari