UONGOZI wa Yanga, umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia beki na nahodha wao, Bakari Mwamnyeto ataendelea kubaki hapo baada ya yeye mwenyewe kuonesha nia.

Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee za beki huyo kuwindwa vikali na watani wao wa jadi, Simba ambao wanamtaka kwenda kuchukua nafasi ya Pascal Wawa.

Mwamnyeto, Mwamnyeto Bado Yupo Yupo Saana, Wana Yanga Msihofu, Meridianbet

Mwamnyeto ambaye mkataba wake na Yanga unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa mwezi huu, kwa sasa yupo huru kufanya mazungumzo na klabu yoyote inayomuhitaji, hiyo ni kwa mujibu wa kanuni za FIFA zinazoruhusu mchezaji akibakiwa na miezi sita katika mkataba wake.

Akizungumza na Spoti Xtra, Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM mbaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano wa Yanga, Injinia Hersi Said, alisema tayari wameanza mazungumzo na beki huyo na kukubaliana kwa pamoja kuongeza mkataba.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa