Nyota wa klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo amewashukuru mashabiki wa klabu ya Liverpool baada ya kuonyesha kuguswa kwao kufuatia kufiwa na mtoto wake.

Mashabiki walitumia dakika moja ya utulivu kuomboleza kwenye mchezo kati Liverpool dhidi ya Manchester United kwenye uwanja wa Anfield siku ya jumanne ambapo Ronaldo alikosekana kufuatia msiba huo.

Ronaldo
Rodriguez na Ronaldo wakiwa kwenye moja ya mitoko yao.

“Mimi na familia yangu hatutasahau hii jeshima mliyotupatia kwenye kipindi hiki kigumu.”

Cristiano aliandika kwenye ukarasa wake wa Instagram: “Dunia moja…. Mchezo mmoja…. Familia moja duniani….. Asante,  Anfield.”

Cristiano aliongozea na emoji ya mikono inayonesha maombi,ikifuatiwa na video ya mashabiki wa liverpool kwenye uwanja wa Anfield wakitoa heshima zao kwa dakika saba.

Nyota huyo mwenye miaka 37, ambaye ana watoto wengine wanne wakubwa, mwishoni mwa mwezi oktoba alitangaza kuwa yeye na mpenzi wake wanatarajia kupata mapacha. katika hao mapacha mmoja kapona ambaye ni wakike na wakiume ndie aliyefariki.

Kwenye waraka walioutoa Ronaldo na Rodriguez siku ya jumatatu uliandikwa, “kifo cha mtoto wao wa kiume, umewapa maumivu makubwa ambayo mzazi yeyote angayepata.

“Uzao wa binti yetu unatupa nguvu ya kuishi ikiwa pamoja na tumaini na furaha,” waraka uliongezea.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa