Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa West Ham na England Declan Rice, 25, ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Ten Hag.

Kiungo wa kati wa Uholanzi Donny van de Beek, 25, anatarajiwa kupatiwa fursa ya kurejesha kiwango chake pale Old Trafford na aliyekuwa meneja wake wa Ajax.

RB Leipzig kwa mara nyingine tena imesisistiza kwamba kiungo mshambuliaji Christopher Nkunku, 24, atasalia kuwa mchezaji wao msimu ujao, licha ya tetesi kutoka kwa Manchester United and Arsenal.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

 

Tetesi zinasema, AC Milan huenda ikamuwania mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Romelu Lukaku, 28.

Tetesi zinasema, Burnley inalenga kumsajili kaimu meneja wa Wales Rob Page, 47, msimu huu ili kuchukua nafasi yake Sean Dyche.

Everton imejiunga na Tottenham katika mbio za kumwania kipa wa England na Westbrom 29, Sam Johnstone.

Tetesi zinasema, Real Madrid inamfwatilia kiungo wa kati wa Newcastle na Brazil Bruno Guimaraes, 24 aliyejiunga nao msimu wa baridi.

Beki wa kushoto wa klabu ya Besiktas na Uturuki Ridvan Yilmaz, 20, analengwa na Tottenham na klabu kadhaa za Ulaya.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Mkufunzi wa Aston Villa alikuwa akimfwatilia beki wa Marseille na Ufaransa Boubacar Kamara, 22, wakati alipokuwa akitazama klabu hiyo ikijipatia ushindi dhidi ya Nantes siku ya Jumatano.

Winga wa Paris St-Germain na Argentina Angel di Maria, 34, ananyatiwa na Juventus wakati kandarasi yake itakapokamilika mwisho wa msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa