Klabu ya Napoli wametangaza kukamilisha usajili wao wa pili wa majira ya kingazi wa beki wa kushoto Mathias Olivera kutoka Getafe.

Mapema jana, Partenopei na rais Aurelio De Laurentiis walithibitisha Andre Zambo Anguissa amejiunga kwa mkataba wa kudumu baada ya mkataba wa mkopo kukamilika.

 

napoli, Napoli Yakamilisha Usajili wa Mathias Olivera., Meridianbet

Olivera, 24, anajiunga na Napoli baada ya kudumu misimu mitano nchini Uhispania akiwa na Getafe pamoja na kipindi kifupi alichocheza kwa mkopo Albacete katika daraja la pili.

Mathias Olivera amecheza mechi 111 katika mashindano yote katika misimu yake minne na nusu akiwa na Getafe.

Alianza kucheza na Nacional katika nchi yake ya asili ya Uruguay na akashinda taji la ligi msimu wa 2015-16 kabla ya kuhamia Atlas kwa muda mfupi na kuelekea Getafe.

Olivera ameichezea Uruguay mechi tatu, ambazo zote alicheza mwaka wa 2022, na alikuwa sehemu ya timu iliyoshinda ubingwa wa Amerika Kusini chini ya miaka 20 huko Ecuador mnamo 2017.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa