Baada ya kumkosa mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe, klabu ya Real Madrid wamewekeza nguvu zao kwa mshambuliaji wa AC Milan, Rafael Leao.

Kulingana na jarida la La Gazzetta dello Sport, Klabu ya Real Madrid watakuwa tayari kulipa £100 milioni kumsajili Leao, katika msimu huu wa kiangazi.

 

madrid, Madrid Yaandaa £100 kwa Rafael Leao., Meridianbet

Leao ana kifungu cha kuuzwa kwa £126 milioni katika mkataba wake wa sasa, kulingana na habari hii, Milan hawataki kumuuza Leao na wanatarajia kuongeza mkataba wake hadi 2026.

Leao, 22 alianzia soka lake pale Sporting de Portugal, akahamia Lille na kabla ya mwaka 2019 kusaini mkataba wa misimu mitano na AC Milan.

Mreno huyo amekuwa mchezaji muhimu katika kuiongoza Milan kushinda Scudetto akicheza dakika 3,200 katika mechi 42 za mashindano yote msimu huu, akifunga mabao 14 na kutoa asisti 12, na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa msimu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa