Kiungo wa kati wa Manchester United, Paul Pogba atalazimika kukubali kukatwa mshahara mkubwa ili aweze kurejea Juventus msimu huu wa joto.

Ikiwa imesalia miezi minne kwenye mkataba wake Old Trafford, inaonekana kuna uwezekano mkubwa kwamba Mfaransa huyo ataondoka kwa uhamisho wa bure.

Klabu ya zamani ya Juventus inafahamika kuwa na nia ya kuungana tena na mshindi wa Kombe la Dunia, lakini inaonekana kwamba mazungumzo yana uwezo wa kugonga mwamba.
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Kwa mujibu wa Calciomercato, Pogba anaweza kufikiria kupunguza nusu ya mshahara wake ikiwa anataka kuwa na kibarua kikosini Turin.

Ripoti hiyo inadai kuwa Juventus wako tayari kutoa dau la takribani 7.5m pamoja na bonasi, ikiwa ni kiwango cha chini sana ukifananisha na mapato yake ya sasa ya €15m.

Real Madrid na Paris Saint-Germain, ambao wanaweza kumpa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 masharti bora zaidi, wanaaminika kufuatilia kwa ukaribu hali hiyo.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa