PSG: Tuchel Ameamua Kuvunja Ukimya!

Waswahili husema ‘mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni’. Hiki ndio kinachoendelea kunako timu ya PSG kutokana na baadhi ya watu kuichukulia poa timu hiyo.

Kumekuwa na maneno mengi kuhusu timu ya Thomas Tuchel, wengi wakisema inaonekana ni timu kubwa kutokana na ligi inayoshiriki kuwa ni ligi nyepesi.

Hiki ni kitu ambacho Tuchel ameamua kukitolea uvivu na kuvunja ukimya kwa watu wanaoisema vibaya PSG.

“Sawa, tunaweza kuendelea kuliongelea hili na mkasema ni jukumu langu. Hakuna shida, mtanisema sana na sina tatizo na hilo lakini tuangalie uhalisia.

“Kule Italia, Juventus ni ya kwanza kwenye ligi? Hapana. Uingereza, ni Liverpool au Manchester City? Hapana.

“Uhispania, ni Barcelona au Real Madrid? Hapana. Sisi ni wakwanza kwenye Ligue 1 na kila mtu anaendelea kusema ooh ni PSG, kwao ni rahisi.

“Lakini sio rahisi! Nadhani watu wanapaswa kukubaliana na uhalisia kwamba uwezo ndio kitu pekee kitakuweka kwenye nafasi ya kwanza kwenye ligi yoyote.”


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

18 Komentara

    Tuchel huwa ataki ujinga

    Jibu

    Tuchel yuko sahihi

    Jibu

    Tuchel Huwa yupo Makini sana

    Jibu

    Bora avunje ukimy kwa maslai ya timu na muonge ukweli mpenz wang

    Jibu

    PSG kwa sasa ipo vizuri sana tuchel anaiongoza vizuri

    Jibu

    Safi sana Tuchel

    Jibu

    Very good Tuchel👊👊

    Jibu

    juudi zake tuchel ndio zinazo fanya dadi mechi kuwa kwenye ubora

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ebwana ndiyo.

    Jibu

    Vizuri atakagi masiara kwenye kaz yake

    Jibu

    Safi sana Tuchel .usikubali watu waichukulie poa P.S.G

    Jibu

    Tuchel yupo sahihi

    Jibu

    Bora

    Jibu

    Psg ni wafalme wa ufaransa tu hawana soka la ushindan zaid

    Jibu

    Tuchel bonge la kocha

    Jibu

    Kocha jembe

    Jibu

    Asantekwa taarifa meridianbet

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.