Nahodha wa Real Madrid Sergio Ramos anakabiliwa na jeraha lingine ambalo litamuweka nje mpaka hatua ya za mwisho katika vita ya kutetea ubingwa wa LaLiga.

Ramos Akumbwa na Jeraha Jipya

Ramos alicheza mchezo wake wa kwanza kwa Real madrid dhidi ya Chelsea baada ya kuwa nje ya dimba kwa wiki saba na kuona timu yake ikitupwa nje ya michuano ya Champions League katika nusu fainali ya pili siuku ya Jumapili.

Lakini sasa amerudi tena kuumwa jeraha lake la tatu kwa msimu huu, alikosa mazoezi siku ya Jumamosi kuelekea mchezo mkubwa dhidi ya Sevilla siku a Jumapili.

Taarifa ya klabu ilisomeka: ” Kufuatia vipimo vilivyofanywa na timu ya matibabu kwa mchezaji Sergio Ramos anakabiliwa na jeraha la misuli katika mguu wake wa kushoto, matibabu yake yataendelea kufuatiliwa kwa karibu.”

Mchezaji huyo wa miaka 35 anaeleka kumaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu na bado hajakubali kuongeza mkataba mpya huku zikiwa zimesalia mechi nne pekee msimu kuisha.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Ramos, Ramos Akumbwa na Jeraha Jipya, Meridianbet

SOMA ZAIDI

11 MAONI

  1. Lakini sasa amerudi tena kuumwa jeraha lake la tatu kwa msimu huu, alikosa mazoezi siku ya Jumamosi kuelekea mchezo mkubwa dhidi ya Sevilla siku a Jumapili.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa