Rangers kuvaa jersey za Kupinga Kamali Licha ya Kudhaminiwa na Kampuni ya Kamali

Klabu ya Ranger kwenye mchezo wao wa usiku wa leo dhidi ya Dundee kwenye uwanja wao wa Ibrox watavaa jersey inayonesha kupinga  mapato yanayotakana na kamali licha uya kudhaminiwa na kampuni ya kamali ya 32Red Online Casino.

32Red Online Casino imekuwa mdhamini mkuu wa klabu ya Rangers kwa miaka mingi sasa na usiku wa leo mdhamini huyo hatajuwepo kwenye sehemu ya mbele ya jersey hizo kwenye mchezo wa wa robo fainali ya ligi ya Premier Sports Cup kwa ajiri ya wiki ya kupinga mapato hatarishi yanatokana na kamali.

Mkurugenzi wa masoko na biashara wa klabu ya Rangers James Bisgrove alisema: “Rangers wataendelea kufanya kazi kwa ukaribu na Kindred Group na kutoa ushirikiano imara ili kuamasigha kampuni hiyo kuangoza kwenye tasnia ya kamali na kuanzisha mikatati kwa wigo mpana zaidi.

“Tutaiondoa logo ya 32Red ya kwenye jersey za nyumbani wiki hii na kuweza logo ya ‘Zero % Mission kwenye mchezo wa robo fainali kwenye mashindano ya Premier Sports Cup.

Tunavyoingia wiki ya kamali salama, ni vizuri kuweza kuambatana nayo ili kuweza kuendeleza kuwalinda wateja , pia vile vile kuhamasisha muendelezo wa mabolesho ya teknolojia kwenye tasnia ya kamali.”

Acha ujumbe