Ratiba ya Manchester United ya EPL Msimu Ujao, 2020/21

Soka halijachelewa kurudi, likizo ya Corona ilitosha sana. Sasa soka litaanza mapema Septemba.

Msimu uliopita haujawa mzuri sana au mbaya sana kwa Man United ambao mwishoni walifanikiwa kufuzu Ligi ya Mabingwa baada ya kumaliza 4 bora. Na msimu wa 2020/21 unaweza kuwa wa kufanya maajabu zaidi.

Hii ni ratiba ya mechi zote za Man United za nyumbani na ugenini anazoenda kuzicheza msimu ujao, 2020/21.

Terehe MECHI
Itapangwa Burnley v Manchester United (Imeahirishwa)
19/09/2020 Manchester United v Crystal Palace
26/09/2020 Brighton v Manchester United
03/10/2020 Manchester United v Tottenham Hotspur
17/10/2020 Newcastle United v Manchester United
24/10/2020 Manchester United v Chelsea
31/10/2020 Manchester United v Arsenal
07/11/2020 Everton v Manchester United
21/11/2020 Manchester United v West Bromwich Albion
28/11/2020 Southampton v Manchester United
05/12/2020 West Ham United v Manchester United
12/12/2020 Manchester United v Manchester City
15/12/2020 Sheffield United v Manchester United
19/12/2020 Manchester United v Leeds United
26/12/2020 Leicester City v Manchester United
28/12/2020 Manchester United v Wolverhampton
02/01/2021 Manchester United v Aston Villa
12/01/2021 Fulham v Manchester United
16/01/2021 Liverpool v Manchester United
26/01/2021 Manchester United v Sheffield United
30/01/2021 Arsenal v Manchester United
02/02/2021 Manchester United v Southampton
06/02/2021 Manchester United v Everton
13/02/2021 West Bromwich Albion v Manchester United
20/02/2021 Manchester United v Newcastle United
27/02/2021 Chelsea v Manchester United
06/03/2021 Manchester City v Manchester United
13/03/2021 Manchester United v West Ham United
20/03/2021 Crystal Palace v Manchester United
03/04/2021 Manchester United v Brighton
10/04/2021 Tottenham Hotspur v Manchester United
17/04/2021 Manchester United v Burnley
24/04/2021 Leeds United v Manchester United
01/05/2021 Manchester United v Liverpool
08/05/2021 Aston Villa v Manchester United
11/05/2021 Manchester United v Leicester City
15/05/2021 Manchester United v Fulham
23/05/2021 Wolverhampton v Manchester United

 


 

Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi Ucheze

39 Komentara

    Ratiba imekaa poa sana; natamani sana kushuhudia mtanange wa tarehe 03/10

    Jibu

    Asante kwa ratiba nzuri

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sana ila wanachangamoto ya timu ambazo wanakutana nao

    Jibu

    TAA ya kijani imewaka msimu mpya EPL is back fixture ipo POA ngoj tuone United watafany nn 2020/2021

    Jibu

    Mambo yashakua moto

    Jibu

    Hii ratiba sio poa mambo yamekuwa mazuri zaidi kikubwa Man u wasifanye dharau wapige mpira

    Jibu

    Ratiba iko Poa tu

    Jibu

    Ratiba iko vizur Sana

    Jibu

    Iko bomba sana

    Jibu

    Iko poa Sana.

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sana ila wanachangamoto ya timu ambazo wanakutana nao

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ratiba iko poa sana

    Jibu

    Nice roster!

    Jibu

    Manchester Penandez wanakazi hapa

    Jibu

    Iko poa sana#Meridianbettz

    Jibu

    Ratiba iko poa sana

    Jibu

    Ratiba iko poa

    Jibu

    Ratiba imekaa powa sana haswa tarh 24 natamani sana wakutane na chama langu

    Jibu

    Maoni:kwa ratiba hiiii man united ubingwa lazima

    Jibu

    Tusubilie kuona man u watafanya nini msimu ujao je watatinga fainali

    Jibu

    Iko poa sana#Meridianbettz

    Jibu

    ratiba iko poa naisubiria kwa hamu game ya tar 30/1 ya arsenal na man u

    Jibu

    Ratiba iko poa Ila wanachangamoto ya timu wanayokutana nayo@meridianbettz

    Jibu

    Kujikwaa si kuanguka..!tuna tegemea kuiyona Manchester united ile ya zamani

    Jibu

    mambo ya msimu ujao mazuri sana yanakuja

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Ratiba imekaa poa sana

    Jibu

    Man kwa msimu huu waplmejipanga kisawa sawa ratiba imekaa poa

    Jibu

    Zitakua ni tough game kwa man utd

    Jibu

    Ratiba iko poa

    Jibu

    Ratiba imetulia ila wao sasa hawana maajab

    Jibu

    Ratiba iko vizuri.

    Jibu

    Kwa ratiba hiyo Man U inatakiwa kudhihirisha mashabiki wake kwamba ilitereza na inataka kurudi nafasi yake ya zamani ya ushindi#meridianbettz

    Jibu

    United msimu huo ndio wenu kiwasheni tu

    Jibu

    Naona man u atamaliza kibarua na wakubwa mapema tu.

    Jibu

    Ilikua safi sana

    Jibu

    Ratiba imekaa powa sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.