Samuel Grandsir: 'Nataka Kubaki Hapa Monaco'

Samuel Grandsir anataka abakie na afanikiwe akiwa ndani ya klabu ya soka ya AS Monaco ikiwa ni mara baada ya yeye kuwa na muda mzuri akiwa kwa mkopo katika klabu ya soka ya Stade Brestois 29 wakati wa msimu wa 2019-20.

Grandsir alijiunga na klabu ya soka ya Monaco mwaka 2018 akitokea kwa klabu ya ESTAC Troyes, lakini alicheza gemu 12 pekee za ligi ya Ligue 1 akiwa fiti kabisa kabla hajaelekea kwa RC Strasbourg Alsace kwa mkopo wakati wa nusu msimu wa pili wa mwaka huo.

Alishindwa kufunga bao hata moja katika gemu zote alizokuwa fiti kucheza kwa klabu ya Alsatian lakini mambo yake yakawa mazuri huko Brittany ambako alifunga mabao mara tatu na kuongezea assists katika mechi 23 za ligi na kuiweka klabu ya Brest matatani sana.

Akiwa na muda wa miaka mitatu iliyosalia klabuni Monaco katika mkataba wake kwa sasa anaona kabisa ni vyema akiwa kule Stade Louis II, hata kama kuna mpambano mkali sana katika mashindano kwenye nafasi ya kikosi cha Roberto Moreno.

“Ninadhani nimekuwa na msimu bomba sana na kufanya mengi sana uwanjani. Nilikuja hapa Brest kwa mkopo wakati fulani wa kucheza kule lakini bado moyo wangu upo kwa Monaco. Nina muda wa miaka mitatu iliyosalia kucheza ndani ya klabu ile na ninataka nibakie hapo hapo. Ninajua ya kuwa nina sifa zote za kubakia pale,” alisema Grandsir akifafanua kwa gazeti la Ouest France.

“Siyo tatizo ingawa kuna ushindani mkubwa sana kila mahali. Ninapenda ile hali ya kuwa ni muhimu kushindana sana. Hainiogopeshi!”

44 Komentara

    Good news 👍 & greater player @monaco tnx # meridianbet

    Jibu

    Meridianbettz tunashukuru kwa taarifa

    Jibu

    Abaki tu Ndio sehemu inayomfaaa kwa kiwango chake

    Jibu

    Abakie tu monaco maana pia ni sahihi yeye kwa upande wake kubaki hapo

    Jibu

    Asante kwa taarifa #meridianbet

    Jibu

    Baki tu hapo,ukuze kipaji chako.

    Jibu

    Abaki tuu ndio sehemu inayomfaa#meridianbettz

    Jibu

    Apambane hapohapo Monaco kunamfaa

    Jibu

    Maamuzi mazuri kwa yeye kubaki Monaco#meridianbettz

    Jibu

    Abaki monaco ni sahihi kwake

    Jibu

    Bora asalie Monaco #meridianbettz

    Jibu

    abakie ndo sehemu inayomfaa

    Jibu

    Habari nzuri abaki tu anona kuna maslai na anafurah kua apo

    Jibu

    Asitoke monako tu

    Jibu

    Abaki tu hapo Monaco

    Jibu

    Aendelee tu

    Jibu

    Abaki afanye kazi atafanikiwa akiwa hapohapo.

    Jibu

    Kama vipi asiende tu kwani ni lazima

    Jibu

    Habaki tuu apo monaco

    Jibu

    Kwenda zeke

    Jibu

    Ni bora abaki tu monaco

    Jibu

    ni maamuzi mazuri kama anaona atapata mafanikio akiendelea kuitumikia AS MONACO

    Jibu

    Apambane tu Monaco

    Jibu

    fanya chaguo sahh

    Jibu

    Kama ana furaha klabuni apo basi abaki tu

    Jibu

    Ni maamuzi yake kuchagua sehemu sahii..!

    Jibu

    Bora ubaki tu Monaco mzee

    Jibu

    Baki tu Monaco unastahili kuwapo uko.
    #meridianbet

    Jibu

    Tatizo ni kwamba yupo kwenye mipango ya kochaa?

    Jibu

    Ni vema akabaki hapo monaco

    Jibu

    nashauri abakie hapo hapo kwanza

    Jibu

    Yuko sahihi#meridianbettz

    Jibu

    Asanteni meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Safi kabisa huo ndo uzalendo

    Jibu

    Abaki bwana #Meridianbettz

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Grandsir anaonekana anamapenzi na anatamani kufanya amakubwa ndani aya Monaco.

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Meridianbet mpo vizuri sana kwa taarifaaa

    Jibu

    Kwa moyo huo wa kijasiri atapata hitaji la moyo wake#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ni maamuz mazur sana kubaki nyuman thnks meridian bet tz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

Acha ujumbe