Majeraha aliyoyapata Sergio Aguero yanaifanya Barcelona kuikosa huduma yake, lakini ameanza mazoezi madogo madogo tokea aanze pata nafuu ya majeraha ya nyama za mguu.
Aguero ambaye alijiunga na barcelona akitokea Manchester City kwenye usajili wa bure majira ya kiangiazi, na mpaka sasa bado hajacheza mechi hata moja tokea ajiunge na miamba hao wenye makazi yao jiji Barcelona.
Barcelona inatarajia kupata huduma ya Sergio Aguero kuanzia katikati ya mwezi wa kumi japo Barcelona inamuhitaji sana wakati huu kwani imepoteza wachezaji wake hatari kama Messi ambaye amesajiliwa na klabu ya Paris Saint Germain, huku Antonio Griezman akienda Atletico De Madrid kwa mkopo.

Aguero amesini dili ya miaka miwili na miamba hiyo ya jijini Barcelona huku kikiwa na matarajio makubwa kwake kwa klabu, kwani aliweza kuonyesha makali yake akiwa na Manchester City ambapo aliifungia magoli 184 katika michezo 277 akiwa na city.
Aguero mwenye umri wa miaka 33 anatarajiwa kuendeleza makali yake ya akiwa na Barcelona japo anapitia kipindi cha majera ya mara kwa mara.
Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.



[email protected]
Mhh atari