Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Real Madrid huenda wakafufua azma yao wa kumsaka mshambuliaji wa Manchester United na Uruguay Edinson Cavani, 34, dirisha la uhamisho litakapofunguliwa tena mwezi Januari.

Tetesi zinasema, Chelsea bado wanajadiliana na wakala wa beki wa Ujerumani Antonio Rudiger, 28, kuhusu mkataba mpya.

Kiungo wa kati wa England, Kalvin Phillips anakaribia kutia saini mkataba mpya na Leeds kama anavyosema wakala wa mchezaji huyo wa miaka 25- pande zote ziko tayari kufanikisha mpango huo.

 

Mshambuliaji wa Ujerumani Timo Werner, 25, ataangalia tena mustakabali wake katika klabu ya Chelsea ikiwa atashindwa kurudi katika timu ya Thomas Tuchel – na huenda akarejea Ujerumani mwisho wa msimu huu.

Tetesi zinasema, Barcelona haitamfuta kazi mkufunzi wake Mholanzi Ronald Koeman kabla ya kucheza na mabingwa wa La Liga Atletico Madrid Jumamosi hii.

West Ham huenda wakapata nafsi ya pili ya kumsaini Luca Pellegrini, 22, huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia akijizatiti kupata nafasi ya kuchezea Juventus.

 

Mshambuliaji wa Arsenal, Eddie Nketiah, 22, anataka kuondoka Gunners, huku klabu za Leeds, Aston Villa na Brentford zote zikifuatilia hali ya mchezaji huyo wa kimataifa wa England wa chini ya miaka -21 international.

Tetesi zinasema, Meneja wa Liverpool Jugen Klopp anataka kumsajili winga wa Bayern Leverkusen na Ufaransa Moussa Diaby, 22.

Barcelona wanamsaka kinda wa Uswidi Williot Swedberg, 17. Kiungo huyo wa kati pia ananyatiwa na klabu za Liverpool na AC Milan.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.