Tetesi zinasema, Manchester City imefanya mazungumzo na wakala wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund Mnorway Erling Braut Haaland,21.

Tetesi zinasema, Chelsea huenda ikamuuza mshambuliaji wake raia wa Albania Armando Broja, 20, na kiungo muingereza Faustino Anjorin, 20, ili kusaidia kupata fedha za usajili msimu huu.

Tetesi zinasema, wawakilishi wa mlinzi wa Chelsea mjerumani Antonio Rudiger, 28, wanaendelea na mazungumzo ya moja kwa moja na Real Madrid na PSG.

 

Rudiger

Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich huenda akaiuza klabu hiyo, huku madau yakitarajiwa kuanza kuwasili wiki hii.

Arsenal wanatarajiwa kumzawadia mkataba mpya ulioboreshwa mshambuliaji wake wa England Bukayo Saka, 20, mwishoni mwa msimu.

Kiungo wa Arsenal mfaransa Matteo Guendouzi atajiunga moja kwa moja kwa mkataba wa kudumu kwenye klabu anayochezea kwa mkopo sasa ya Marseille mwishoni mwa msimu kwa ada ya £9m.

Mkurugenzi wa soka John Murtough anasema mchakato unaendelea kumuainisha meneja wa kudumu ajaye wa Manchester United.

 

Thomas Tuchel Werner

Tetesi zinasema, Borussia Dortmund wanavutiwa na mshambuliaji mjerumani Timo Werner,25.

Mshambuliaji Mpoland wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 33, hajaamua bado kuhusu hatma yake lakini anasema yuko tayari kwa uamuzi wowote.

Tetesi zinasema, Barcelona wanataka kumsajili kiungo wa Monaco mfaransa Aurelien Tchouameni,22.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa