Tetesi zinasema, meneja wa Paris St-Germain, Mauricio Pochettino, ambaye amekuwa akihusishwa kutua katika klabu ya Manchester United, anaripotiwa anataka kurejea Tottenham.

Manchester United wamewaomba wawakilishi wa Robert Lewandowski kuwapa taarifa endapo kuna mabadiliko yoyote ya mchezaji huyo na klabu yake ya Bayern Munich.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Borussia Dortmund wanataka kumsajili mashambuliaji ya Real Madrid Luka Jovic, 24, kama mbadala wa Haaland, 21, iwapo nyota huyo ataondoka msimu huu.

Everton wanasubiri ofa ya kumsajili Mshambuliaji wa England mwenye umri wa miaka 24- Dominic Calvert-Lewin na mshambuliaji Mbrazili Richarlison, 24, msimu ujao.

Tetesi zinasema, Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anasema hakuna kilichobadika kuhusu mkataba wake huku mkataba wake ukitarajiwa kumalizika mwaka 2024.

Sevilla hawatajaribu kumbakiza mshambuliaji wa Manchester United mwenye umri wa miaka 26 Mfaransa Anthony Martial baada ya kuisha kwa mkataba wake unaomalizika mwishoni mwa msimu huu.

 

Baada

Tetesi zinasema, Arsenal wameripotiwa kuomba uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Napoli Mhispania Fabian Ruiz, 25, msimu huu.

Meneja wa Newcastle United, Eddie Howe anamtaka kiungo wa kati Muingereza Sean Longstaff kurefusha zaidi mkataba wake ambao klabu imempatia.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa