Klabu ya Everton kumalizana na mkataba wa udhamini wana kampuni ya ya kuuza magari  Cazoo mwisho wa msimu huu huku kukiwa hakuna tena dalili ya kuendelea na mkataba tena na kampuni hiyo.

Cazoo walianza kuidhamini klabu ya Everton mwaka 2020 majira ya kiangazi kwa mkataba wa miaka miwili ambapo mwisho wa msimu huu ndio ukingo wa mkataba, huku wakikanusha kuwa mkataba huo siyo sehemu ya mikataba ambayo ilisitishwa kwa sababu ya uvamizi wa Ukraine.

Everton, Everton Kumalizana na Cazoo Mwisho wa Msimu, Meridianbet

Pia inasemekana kuwa klabu ya everton imeshafanya mchakato wa kutafuta mdhamini mwingine ambaye atachukua mikoba iliyoachwa na cazoo mwisho wa msimu huu huku, ambapo udhamini huo mpya utakuwa na thamani ya £10 million kwa mwaka.

Cazoo wakithibitisha kuachana na udhamini na Everton kwenye waraka wao uliosomeka,  “tunathibitisha kwamba udhamini wa Cazoo kwa klabu ya Everton hautaendelea baada ya msimu huu kuisha.

“Mkataba ulikuwa wa miaka miwili na tumekuwa na uhusiano mzuri na katika kipindi chote wametimza malngo yetu tunafurahi kwa hili na kuweza kuisaidia klabu kuchangisha kiasi cha £75,000 kwa ajiri ya kusaidia jamii kwa kipindi hichi.

‘Tumeshindwa kuendelea na mkataba kwa kushindwa kukubaliana vifungu vya mkatba mpya  ukiobdoa ule wa awali wa miaka miwili lakini tunaweza thibitisha kubakia na klabu ya aston villa kwa msimu ujao.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa