Tetesi zinasema, Paris St-Germain itakuwa tayari kumuuza mshambuliaji wa Brazil Neymar, 30, ikiwa watapata ofa inayokubalika msimu huu wa joto.

Tetesi zinasema, Chelsea wanatafakari uwezekano wa kumnunua mshambuliaji wa RB Leipzig Mfaransa Christopher Nkunku, 24.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Chelsea wanaweza kufanya jaribio la dakika za mwisho kumnasa kiungo wa kati wa Monaco na Ufaransa Aurelien Tchouameni, 22, mbele ya Real Madrid mara tu mchakato wa ununuzi wa klabu hiyo utakapokamilika.

Tetesi zinasema, Tottenham wanamnyatia kiungo wa Italia na Inter Milan Alessandro Bastoni, 23, huku Manchester United pia wakionyesha nia ya kutaka kumsajili.

Kipa Muingereza Fraser Forster, 34, amefanyiwa uchunguzi wa kimatibabu huko Hotspur Way katika hatua ya kukamilisha uhamisho wake wa Spurs wakati mkataba wake wa Southampton utakapokamilika mwezi ujao.

Arsenal wanamfuatilia kwa karibu mchezaji Alvaro Morata. Mshambuliaji huyo wa Uhispania, 29, amekuwa Juventus kwa mkopo wa msimju mzima kutoka Atletico Madrid.

 

Alvaro Morata

Arsenal pia wanataka kumsajili tena winga wa Ujerumani Serge Gnabry kutoka Bayern Munich lakini hawana uwezo wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 msimu huu wa joto.

Tetesi zinasema, Aston Villa wako tayari kuongeza kasi ya kumsaka beki wa Rangers na Nigeria Calvin Bassey mwenye umri wa miaka 22.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa