Kocha wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel amesisitiza kuwa anafuraha kwenye klabu ya chelsea japokuwa kwa sasa hajui hatma ya klabu yake kutokana na vikwazo alivyowekewa mmiliki wake Roman Abramovich serikali ya Uingereza.
Klabu ya Man Utd mwisho wa msimu wanatafuta kocha ambaye atachukua majukumu ya kuinoa timu baada ya muda Ralf kuisha, na kuhamia kwenye nafasi yake ya ushauri, na United wanataka kutumia nafasi kwa yanaondelea sasa kwenye klabu ya Chelsea ili kuweza kumchukua Thomas Tuchel kuinoa timu hiyo.

kutokana na wimbi zito linaloikabili klabu hiyo, Tuchel amesisitiza kuwa yeye atabaki hapo kufanya kazi yake na kuhakikisha timu inapata matokeo mazuri uwanjani msimu huu. “Kwa yanoendelea siku hadi siku, hakuna utatuzi kwa kipindi hiki” alisema Tuchel.
“Kwanza kabisa napenda hapa nilipo, kwa sababu naiona thamani ya mimi kuwa kwenye hii klabu na akili yangu iko sawa hapa. kuna thamani napewa hapa na najiona kama mwenye bahati, najua ni kwa kiasi gani nahitaji kuwa bora zaidi. Ni thamani kubwa kubwa sana.
“Sijawai kuwa na ukomo wa mkataba wa kiwango cha pesa ninachotumia au kiasi cha pesa, ambacho nahitaji kwa mchezaji, sijawai fanya hivi kwenye klabu yeyote.
‘Najiamini mwenyewe kuweza kuweza kukabiliana na hali yeyote, naamini uwezo wangu wa kuhamasisha timu. nina furaha kuwa sehemu ya team ya Cobham na Chelsea.
“Nina furaha sana, na natumai haitabadilika.”
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.


