Xavi Atambulishwa Rasmi Camp Nou, Tayari kwa Kazi

Maelfu ya mashabiki walifika katika uwanja wa Camp Nou kwaajili ya kumkaribisha Xavi Hernandez kama kocha mkuu wa Barcelona siku ya Jumatatu huku wakiwa na matumain Xavi anaweza kuwarejeshea furaha yao iliyotoweka mara baada ya kuanza kwa msimu huu.

Xavi Atambulishwa Rasmi Camp Nou, Tayari kwa Kazi

Kiungo huyo wa zamani wa Barcelona ambaye alichukua mikoba ya kuinoa Al Sadd alisaini mkataba na Barca mpaka mwaka 2024, siku ya Jumatatu alikuwa akiwasalimu na kuwapungia mikono mashabiki baada ya kuingia uwanjani akiongozana na rais wa klabu Joan Laporta.

“Nimefurahi sana,” Xavi aliwaambia mashabiki. “Sisi ni klabu bora zaidi duniani na tutajitahidi kuwa na mafanikio. Barca haiwezi kuridhika na sare au kupoteza. Tunapaswa kushinda kila mechi.”

“Ni ndoto iliyokuwa kweli,” Xavi aliimabia tovuti ya klabu mapema siku ya Jumatatu.” Najua klabu inapitia kipindi kigumu lakini najiona kama nimejiandaa.

Xavi Atambulishwa Rasmi Camp Nou, Tayari kwa Kazi

Xavi atakuwa na kibarua kigumu kwenye mchezo wake wa kwanza kama kocha mkuu wa Barcelona kwa kuwaalika Espanyol ambao ni mahasimu wao wakubwa Novemba 20, ikifutaiwa na mechi mbili za ligi dhidi ya Villarreal na Real Betsi kabla ya kuelekea Ujerumani kuumana na Bayern Munich kwenye Ligi ya Mabingwa.

Rais Barcelona Joan Laporta: “Dani Alves anaisaidia klabu kwa njia nyingi  na pia alitupa msaada wake katika maswala ya michezo. Na Puyol kuna uhusiano wa moja kwa moja. Wanaweza kusaidia ikiwa Xavi anawahitaji”.


Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.