YANGA HAOOO AFRIKA KUSINI
Makala iliyopita
Manchester United Kinachofuata ni Manuel Ugarte
Makala ijayo
KOCHA SIMBA AANZA NA GIA HII HUKO MISRI
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kwamba watakuwa tofauti kwa msimu wa 2024/25 kwenye upande wa kambi baada ya kupata mialiko kutoka sehemu mbalimbali wakaamua kwenda Afrika Kusini.