Zidane, Ronaldo Kurudi Madrid? Inawezekana.

Wakati kukiendelea kuwa na hali ya sinto fahamu kuhusu uwezekano wa Cristiano Ronaldo kubeba kombe la Uefa akiwa na Juventus, Zinedine Zidane ameibuka na kuongeza chumvi.

Cristiano Ronaldo aliondoka Real Madrid 2018 baada ya kubeba mataji 3 ya msimu ule na alijiunga na Juventus. Lengo kuu la Juve kumsajili CR7 lilikuwa kubeba kombe la Uefa lakini mambo yamekuwa tofauti sana, Juve wameishia robo fainali mara 2 na kutolewa hatua ya 16 bora msimu huu.

Baada ya kuondolewa na FC Porto msimu huu, kulianza kuibuka maneno huenda CR7 akarejea Real Madrid huku wengine wakienda mbali na kusema usajili wa Ronaldo kwenda Juventus haukuwa sahihi.

Cristiano Ronaldo baada ya kukamilisha usajili kujiunga na Juventus akitokea Real Madrid, 2018.

Kocha Zinedine Zidane ametia chumvi kwenye hiki kinachoendelea ambapo Zizzou amenukuliwa akisema, ” Ndio, inawezekana ikawa ni kweli. Tunamjua Cristiano ni mtu wa aina gani na kila kitu alichokifanya hapa [Bernabeu]. Kwa sasa ni mchezaji wa Juve na tunapaswa kuheshimu hilo.

“Kwa sasa, tusubiri tuone nini kitatokea hapo mbeleni. Nilikuwa mwenye bahati kumfundisha na anajituma sana. Kwa sasa, anaisaidia Juventus aliiambia Sky Italia.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

9 Komentara

    Zidane yupo juu

    Jibu

    Zidane yupo vizuri

    Jibu

    Zidane namkubali

    Jibu

    Maelewano tu

    Jibu

    Zidane sio mtu wa mchezo mchezo

    Jibu

    Maerewano tuuu

    Jibu

    Inawezekana wakiamua

    Jibu

    Kikubwa mpunga tu hapo

    Jibu

    Ronaldo aende Man U tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.