Zinchenko: Guardiola Hakuzungumza Baada ya Kutolewa UEFA.


Beki wa Klabu ya Manchester City Oleksandr Zinchenko amesema Kocha wao Pep hakuongea nao jambo lolote baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Lyon.

 

Zinchenko: Guardiola Hakuzungumza Baada ya Kutolewa UEFA.

Pep Guardiola hakuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo kuzungumza na wachezaji wake mara baada ya mechi iliyopelekea kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Lyon.

“Guardiola hakuthubutu hata kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo, wala hakusema neno lolote baada ya mchezo ule. Kuna nini hasa cha kusema, kama kila kitu kipo wazi?

 

Zinchenko: Guardiola Hakuzungumza Baada ya Kutolewa UEFA.

“Ni aibu kwa David Silva na Claudio Bravo wamecheza mchezo wao wa mwisho wakiwa na Manchester City. Tulitaka kushinda kwa ajili yao.” alifichua Oleksandr Zinchenko.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

37 Komentara

    Asante kwa makala

    Jibu

    Kwa kikosi cha Man City cha Euro 900 na zaidi ilikuwa aibu kutolewa na Lyon#meridianbettz

    Jibu

    Man City walicheza mpira wa kizembe ndio maana wakatolewa

    Jibu

    ndo mpira inabidi akubaliane na matokeo ata kama inauma

    Jibu

    Aibu kubwa sana kwa timu kubwa inayoingoza duniani na kushindwa kuendelea kimchezo na kufugwa in kitu cha kawaida tuingawa kunamaumivu ndani yake

    Jibu

    Kilichowakuta hawakutegemea walijua Lyon mtelemko

    Jibu

    Kwatimu Kama Man City nitimu kubwa Sana kufungwa Lyon sio poa

    Jibu

    Kuna mda waandishi wa habari wanazingua

    Jibu

    Guardiola ni hatua hiyo inamshindaga sana

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Hakuna jins maana hakutegemea kupata matokeo hayo

    Jibu

    City walicheza chn ya kiwango hakuwa kufauata maelekezo ya mwalimu wao waliopewa uwanjani

    Jibu

    Man city walimbwela bhana

    Jibu

    Man city walikua na nafasi kubwa sana wakashindwa kuitumia vizuri

    Jibu

    Kabra hawajaingia kwenye ile mechi dhidi ya Lyon gurdiola asilimia 90 alijua kombe ni lakwake.

    Jibu

    Alijituliza akili yake. Kakubali matokeo

    Jibu

    Kufungwa sio kitu kizuri.

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Huyu nae alijiamini sana ndo mana kapigwa#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:man city tageti yao ilikuwa kutwa ubingwa wa uefa kwel

    Jibu

    Ilikuwa Aibu kubwa kwa Pep kutokana na uzembe wa wachezaji wake, Sio mbaya bado ananafasi ya kujipanga tena

    Jibu

    Kufungwa sio kitu kizuri
    @meridianbettz

    Jibu

    Huyo nae kazidi kujiamini ndio maana kapigwa

    Jibu

    walipata matokeo ambayo hawakuyatarajia ndo maana alikaa kimya kwanza ili ajitafakari

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Poleni sana ndugu zangu

    Jibu

    Pep guardiola inabid aanze kuandaa kikosi mapema maana soon EPL inaanza

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Nomaaaaa xanaaaa!!!!

    Jibu

    Aibu kubwa sana kwa timu kubwa inayoingoza duniani na kushindwa kuendelea kimchezo na kufugwa in kitu cha kawaida tuingawa kunamaumivu ndani yake

    Jibu

    Ni msimu mbaya Sana kwa kikosi cha Manchester City

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Kujikwaa si kuanguka wajipange upya na EPL karibia hinaanza

    Jibu

    Ila ni aibu kutolewa na Lyon

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Nomaaa sanaaa

    Jibu

Acha ujumbe