Kocha wa Bologna Sinisa Mihajlovic amepima na kukutwa na virusi vya Corona, Bologna imethibitisha.
Katika maelezo ya klabu hiyo ya Serie A ilisema kocha mkuu “anadalili kabisa” baada ya majibu ya vipimo.
Mihajlovic sasa atazianza wiki mbili za kujitenga na kujitibia kwa kufuata miongozo yote iliyowekwa na taifa la Italia katika kukabiliana na virusi vya Corona.
Bologna pia iliwapima wachezaji wa timu ya vijana na vipimo vilionesha hawajaathirika na virusi hivyo hatari.
Timu ya kikosi cha kwanza na benchi la ufundi watafanyiwa vipimo siku ya Jumatatu.
Mihalovic alikuwa akisumbuliwa na saratani ya damu mwaka uliyopita na alitumia muda mwingi kuwa mbali na benchi la Bologna na alifanyiwa upasuaji na kupandikizwa mifupa sehemu ya maungio ya goti.
Aliongeza kandarasi na timu hiyo mktaba utakao fikia tamati mwaka 2023 mwezi Juni.
Msimu mpya wa Serie A 2020-21 utaanza mwezi Septemba 19 ikumbukwe kuwa Bologna ilimaliza katika nafasi ya 12 msimu uliyopita kwa kujikusanyia alama 47 kwenye michezo 38. Je msimu huu wataleta ushindani kunako Serie A?.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Ester jackson
Pole sana mungu akufanyie wepesi urudi tena kwenye majukumu yako
felister
dah corona jamani mpaka lini
Dorophina
Pole sana mihajlovic get well soon
Amiri Kayera
Dah Corona bad t inasumbua Kwa wenzet
Khadija
corona sasa bac#meridiambettz
Issa
Pole yake korona ina tisha sana
Lydia Emmanuel Magoti
Daa corona sio poa
Tatu
Pole sana mungu atakusaidia
Hope mwaikuka
Get well soon Boss
Povel
Duh majAnga kwl mungu atusaidie
Sadick
Sanisa Mihajlovic ni moja ya wachezaji walioitwa kizazi cha dhahabu cha iliyokuwa Yugoslavia ya zamani na tayari mwaka jana alifanyiwa upasuaji kutokana na Leukemia#meridianbettz
Shafii
Mungu amjalie amponye na maradhi.
Neema
Gonjwa balaa hili
Furahav
Corona tena!!
Latifa juma mohamed
Duuh pole Sana
Sadick
Yeruuuuuu!!!!!!! Corona hii bado ipo#Meridianbettz
warda
Yeruuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Corona hii bado ipo#Meridianbettz
rama
Maoni:pole sana atakuwa sawa tu
Ernest
Habari mbaya sana kwa wapenzi wa soka na timu ya Bologna
Adelta
Huu ugonjwa Ni hatari sana tumwombe MUNGu atusaidiye@meridianbettz
magdalena
huu ugonjwa ni Mungu tu mtetezi wa yote
Salma ngende
Duh!!!
aisha
Duun majanga pole sana kwa kuugua corona
Saupha mohamed
Duuu atali corona
Gabriel
Habar ya kusikitisha sana kwa club ya bologna kwamba kocha wao Sinisa Mihajlovic kukutwa na corona mwenyez MUNGU amsaidie apone
Fatuma kasomo
Pole yake
Shan
Pole yake ila afate masharti tu
Theckla
Pole yake
Genia Sikaluzwe
Pole yake
Rose kapinga
Pole Sana utapona tuu,mungu akusimamie!!!
David Pere
Sanisa Mihajlovic ni moja ya wachezaji walioitwa kizazi cha dhahabu cha iliyokuwa Yugoslavia ya zamani na tayari mwaka jana alifanyiwa upasuaji kutokana na Leukemia
farida ahmadi
Pole sana
Rehema
Duuuh pole
Zeiyana
Bado tuna wakati mgumu sana wa kuzibiti mlipuko huu wa ugonjwa wa korona
Caroline
Pole Sana ilo ni janga la Dunia
Nasra
Duh poleni
Samiah
Pole
Fatina mfingi
Pole