Dillian Whyte amesisitiza kwamba ” mimi bado ni moja ya wapiganaji wa juu kwenye mashumbwi uzito mkubwa” baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Alexander Povetkin na ameahidi kulipiza kwa gemu ya marudiano.
Whyte alimdondosha Povetkin mara mbili lakini alipigwa ambakati (uppercut) na kuanguka chini katika raundi ya tano tuu na kupunguza fursa ya kupambana na Tyson Fury katika ubingwa wa WBC.
Aliulizwa kama alifanya makosa kukubali dili ya kuzichapa na Povetkin badala ya kusubiri pambano lake na Tyson Fury la kuwania mkanda, Whyte alijibu Sky Sport News kwamba “Sijutii kabisa.”
“Lilikuwa pambano kubwa na Povetkin amefanya vizuri, najua naweza kumpiga nilionesha kuanzia raundi ya kwanza, kiukweli Povetkin anauzoefu sana na ndondi.
“Nilimdondosha mara mbili lakini aliniotea na moja ya konde lake bora katika historia ya mapambano yake. hiyo ndiyo ndondi kuna tambo nyingi, kupanda na kushuka kupoteza na kushinda.
Povetkin akiwa chini baada ya kudondoshwa na Whyte
Juu ya Knockout aliyopigwa Whyte alisema: Lilikuwa ni kosa dogo tu nimefanya, sababu ile ngumi aliyorusha na kutua kwangu nilishaifanyia mazoezi na kuipangua kama mara 100, nilipaswa kuzuia lakini nilichelewa.
“Bado sijabadilika, nipo tayari kurudi hapa kwaajili ya marudiano
“Ni mtu hatari sana, nilikuwa namchukulia poa nilihisi ningeshinda mapema lakini kila raundi nilikuwa namzidi point, nimejifunza kitu nahitaji pambano la marudiano.
Promota Eddie Hearn alisema: “Kitu cha kwanza Whyte kukisema kilikuwa: “naomba marudiano, naomba marudiano.
“Tutajaribu kuangalia hilo kabla mwaka huu haujamalizika na litakuwa pambano kubwa.
Bingwa wa IBF,WBA na WBO uzito wa juu na aliyewabutua wote Whyte na Povetkin, Antony Joshua alipoulizwa kuhusu Kupoteza kwa KO kwa Dillian alisema: Je, Dillian bado anatambo kuhusu Povetkin? kwa sababu pambano liliitwa “vita kali “
“Wakati alipopata nafasi ya kumpiga, nilitaka kuona ukali wa vita ile.”
“Unajua nikihisi harufu ya damu kwenye pambano huwa nataka kwenda kumtoa mtu lakini ukifanya hivyo unaweza kukamatwa”
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Latifa juma mohamed
Lilikuwa pambano kubwa na Povetkin amefanya vizuri, alikuwa anaweza kumpiga alionesha kuanzia raundi ya kwanza, kiukweli Povetkin anauzoefu sana na ndondi.
Adelta
Sisi Kama mashabiki tunaomba pambano lirudiwe@meridianbettz
Sadick
Bora warudiane tu#Meridianbettz
warda
Bora warudiane tu #Meridianbettz
Ernest
Wabongo tunasema Mwanakulifind Mwanakuliget
Tatu
Dillian whyte akubaligi kushindwa hata kama kapigwa pambano lazima lilidiwe na mpizani wake Alexander ajipange
rama
Maoni:mhhhh ngoja tusubili tuone kwel ataweza
Sabrina
Waswahili wanasema asiekubali kushindwa asio mshindani ila kunamasemo unaasema kuteleza sio kuanguka Kazi kwake yeye kams kaamua asikate tamaa amaweza akapata ushindi
Adelta
Sisi Kama mashabiki tunaomba pambano lirudiwe@meridianbettz
Khadija
warudiane tu#meridianbettz
felister
asiyekubali kushindwa si mshindani
Mwanahamisi
Bora warudiane tuu
magdalena
ata wakifanya marudiano hawezi kubadili matokeo
Lydia Emmanuel Magoti
Whyte amejipanga upya anataka kumchakaza mtu kisawa sawa
Salma ngende
Anajipa moyo
aisha
Kupigwa kupigwa tuu hata kama wakirudia haiwezi kufuta matokeo yaliyopatikana
Furahav
Bora ukaushe mana utakufa.
Sadick
Sasa inaanza kuwa desturi kila anayepoteza pambano anaomba kurudiana, tumeona Joshua vs Ruiz,Willder vs Tyson Fury na sasa huyu nae anataka pambano lirudiwe#meridianbettz
Saupha mohamed
Waludiane tu . tuone jeuri yake
Issa
Whyte ngumi jiwe hatari huyu jamaa
Gabriel
Hili pambano nilijua tu Povetkin atashindwa maana natambua uwezo wake
Fatuma kasomo
Gud news
Shan
Whyte ni mpiganaj anaejiamini
Theckla
Imeisha hiyo
Povel
Gud upadate
Hope mwaikuka
Mmh! Kubal tu yamekushnda
Amiri Kayera
Never loose hope
Genia Sikaluzwe
Imepita hiyo
Rose kapinga
Asiekubal kushindwa sio mshindan!!!
Shafii
Pambano lilikua la mvuto wa aina yake ila tunabaki kusema mkongwe ni mkongwe tu.
Theonestina
Asiyekubal kushindwa Sio mshindani
David Pere
Sasa inaanza kuwa desturi kila anayepoteza pambano anaomba kurudiana, tumeona Joshua vs Ruiz,Willder vs Tyson Fury na sasa huyu nae anataka pambano lirudiwe
farida ahmadi
Hanaweza kweli ngoja tujionee tena
Rehema
Imepita hiyo
Dorophina
Bora mpambano urudiwe
Sauda
Jamaa anajiamini sana
Zeiyana
Bado hajaonekana nani mjinga kwa mwenzio likirudiwa hitakua vizuri
Caroline
Ha ha ha angalia usipigwe tena
Nasra
Awe makini tu
Samiah
Awe makinitu
Fatina mfigi
Haaah urudiwe tyu