Manchester United: Paul Pogba HAUZWI!

Mchezaji nyota wa Manchester UnitedPaul Pogba anatarajia kuendelea kusalia katika kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer msimu huu.

Baada ya kuwa na taarifa kwamba huenda kiungo huyo akaondoka katika dirisha hili la usajili, wakala wake – Mino Raiola amenukuliwa akisema mchezaji huyo haondoki Manchester United majira haya.

Pogba haondoki Manchester United kipindi hiki cha usajili.

“United hawatopokea ofa yoyote kwa kipindi hiki. Tutaanza mazungumzo ya mkataba mpya siku sio nyingi, hakuna shaka.” Mino Raiola ameiambia Sky Sports.

“Ni mchezaji wa muhimu kwenye kikosi cha Man United, wanamipango mizuri inayokuja na Pogba anahusika kwa 100%.”

Pogba alisajiliwa kwa ada ya pauni milioni 89 akitokea Juventus mwaka 2016. Msimu uliopita haukuwa mzuri kwake kutokana na majeruhi na hivyo alicheza mechi 8 tu kabla ya msimu kusimamishwa.

Tangu kurejea kwa msimu wa EPL, Pogba alicheza mechi 14 akiisaidia United kufika hatua ya nusu Fainali ya FA na Europa pamoja na kumaliza katika nafasi ya 3 kunako EPL. Mkataba wake utamailizika msimu ujao majira ya kiangazi na hivyo kama atasaini mkataba mpya, itakuwa ni jambo jema kwake na United kwa ujumla.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

41 Komentara

    Tunamuuzaje sasa Pogba wakati tunamtegemea hauzwi mtu hapa#Meridianbettz

    Jibu

    Pogba kawa mchalo Man u hawawezi kumuondoa hapo

    Jibu

    hatauzwaje pogba jamani mbona hivo#meridianbettz

    Jibu

    Maoni:vizuri sana pogba endelea kubaki man united

    Jibu

    Pogpa Ni mchezaji mzuri Manchester hawawezi kukubali aondoke kwa sababu Ni jeshi@meridianbettz

    Jibu

    ni mchezaji mzuri katika kikosi cha man u sio rahisi kuuzwa

    Jibu

    Bora pogba abaki man u

    Jibu

    Pogba awezi kuondoka man kwa sasa kwani anamchango mkubwa sana ndani ya club hiyo

    Jibu

    ata iweje unitedi jeuri ya kumuuza pogba ni ngumu

    Jibu

    Man U watanzaje kumuuza Pogba kwamfano Man U awawezi kumuuza Pogba kwasababu ana mchango mkubwa Sana napia anasaidia Sana Man U kwaio ilojembe pale Man U an’goki pale

    Jibu

    Inabidi aendeleee kubaki man u ili aendelee kukipiga

    Jibu

    Afadhali abaki tu

    Jibu

    Baki tu hapo.

    Jibu

    Sikurajia kusikia maneno haya toka kwa wakala mpenda fedha kama Mino. Pogba alijiona star kuliko timu kabla ya kuja Bruno Fernandez na kufunika kivuli chake#meridianbettz

    Jibu

    Inawezekana huu ndio ukawa wakati sahihi kwa Pogba kufanya maamuzi juu ya Maisha yake ya soka

    Jibu

    Pogba abaki tu man u

    Jibu

    Pogba ana nafas kubwa mbele ya ole hivyo suala la kuondoka ni gumu

    Jibu

    Man u waoga sana 👍

    Jibu

    Mchezaji mzuri

    Jibu

    Pogba ni Mali ya united tu

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    POGBA not for SALE in United

    Jibu

    Haya nimefurah kusikia hvyo

    Jibu

    Zam ya man u kulinga safii

    Jibu

    Pogba jembee la man u!!!!

    Jibu

    Ni vema akabaki hapo

    Jibu

    Ni jambo la kufurahisha kwa wana man u.

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Ni mchezaji wa muhimu kwenye kikosi cha Man United, wanamipango mizuri inayokuja na Pogba anahusika kwa 100%.”

    Jibu

    Pogba hawezi kuondoka Manchester United

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Pogba hawezi kuondoka man u bado anamchango mkubwa sana pale

    Jibu

    Pogba kisiki

    Jibu

    Ni habari njema izo kwa mashabiki

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa man u

    Jibu

    Pogba hawezi kuuzwa

    Jibu

    Abaki tu man U

    Jibu

    Abakitu Man U

    Jibu

    Inawezekana huu ndio ukawa wakati sahihi kwa Pogba kufanya maamuzi juu ya Maisha yake ya soka

    Jibu

    Abakitu jembe lng Pogba

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.