Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp anashauku ya siku ya jumatano kwenye mchezo wake wa ligi ya mabingwa ulaya wa nusu ya kwanza dhidi ya Villarreal ingawa mchezo huo umekuja wakati wakiwa na ratiba ngumu.

Liverpool imefanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kuitoa timu kutoka nchini Ureno Benfica kwa uwiano wa magoli 6-4. Huku klopp akiwa anajiandaa na mchezo wa fainali ya FA Cup.

“Kila mchezo nahisi ni kama fainali,” Alisema Klopp

“Furaha iliyoje kuwa sehemu ya nusu fainali, inashangaza, ni mchezo mkubwa. Makocha wengi na wachezaji wanafanya kazi kubwa kwenye maisha yao yote ya soka ili kupata nafasi ya karibu ya nusu fainali.

“Tutakuwepo kushangalia na kufarahia pia.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa