Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi amesema kuwa timu yake imepata hamasa baada ya kuhisi maumivu na hasira ya kuangalia michuano ya ligi ya mabingwa ulaya wakiwa nyumbani.

Klabu ya Barcelona inajianda kwenye mchezo wake wa kesho wa kombe la washindi Europa League kwenye mchezo wao wa pili wa robo fainali, baada ya mchezo wa kwanza kutoka sare ya 1-1 nchini ujerumani, na kesho wanawakaribisha Frankfurt kwenye dimba la Camp Nuo.

Xavi, Xavi: Tunahasira na Maumivu Kuangalia Klabu Bingwa Nyumbani, Meridianbet

Xavi alipokuwa kwenye kikao na waandishi wa habari kabla ya mchezo wa kesho dhidi ya Frankfurt alinukuliwa akisema, “Tulikuwa tunataka tushinde ligi ya mabingwa lakini tumengukia huku, hii ni tofauti micguano taofauti, japo klabu bingwa inathamani kubwa lakini hata hii ni michuano ya ulaya tutafanya juhudi ili kuweza kushinda.

“Tunafanya kazi kubwa ili kuweza kurudi kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya, tumepata hamasa baada ya kuangalia michuano hiyo tukiwa nyumbani, hasira na maumivu ndiyo yataturejesha kwenye michuano hiyo.”

Xavi pia aliongezea kuwa kufanya vizuri kwa klabu ya Real Madrid hakumpi hamasa yoyote kwa sababu klabu ya Barcelona ina historia yake tofauti, na yeye hajui chochote kuhusu Madrid wala hajawai kukaa huko kwaiyo yeye anaendeleza falsafa za Barcelona zilizoanzisha na Johan Cryuff


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa