Kocha wa timu ya taifa ya Canada John Herdman amesema amefurahishwa na kiwango bora cha timu yake licha ya kupoteza katika mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya Ubelgiji hapo jana.

Kocha huyo amesema licha ya kupoteza mchezo wao jana dhidi ya Ubelgiji lakini walifanikiwa kuonesha soka safi ambalo anaamini inaonesha namn ambavyo walistahili kuwepo kwenye michuano hiyo.kochaCanada baada ya kukaa miaka 36 bila kushiriki michuano ya kombe la Dunia walianza vibaya jana kwa kufungwa bao moja kwa bila na Ubelgiji bao pekee lililofungwa na Mitchy Batshuayi lilitosha kuipa Ubelgiji alama tatu kwenye mchezo huo.

Kocha Herdman bado anaamini pia timu ya taifa ya Ubelgiji ina ubora mkubwa sana hasa kwenye eneo la ulinzi ambayo ilikua inaundwa na Jan Vertoghen, Leander Dendocker, Toby Alderweirld huku pia akimwaga sifa kwa golikipa Thibaut Cortous.

Timu ya Taifa ya Canada ilifanikiwa kupata mkwaju wa penati mapema wakati mchezo huo unaanza baada ya mchezaji wa Ubelgiji Yannick Carrasco kuunawa mpira kwenye eneo la hatari na mwamuzi kuamuru  mkwaju wa penati.kochaAlikua ni Alphonso Davies beki huyu a klabu ya Fc Bayern Munich ambaye alichukua jukumu la kupiga mkwaju huo ambapo golikipa Courtous akaweza kuuchomoa mkwaju huo na kuiweka Ubelgiji mikono salama na kuweza kuondoka na alama tatu.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa